Soccer BetMyWay Formula 1 Trending EPL Tennis E-Sports Basketball Ice Hockey Cricket Golf Boxing Rugby Aussie Rules Cycling Darts Volleyball Waterpolo Bowls Baseball Handball Motorsport Football Snooker Badminton Pesapallo Table Tennis MMA

League (0)

Leagues

Odds

Odds

I want odds between

and

Date

Calendar

I want games for

Or between

and

bolt

Bashiri michezo bora na Betway

Karibu Betway, Mtoa Burudani Namba 1 Mtandaoni unapoweza kubashiri timu, wachezaji na ligi zako pendwa au kucheza kasino na michezo ya Live kasino mtandaoni kutoka nyumbani kwako. Kutoka kwenye mwanga ang’avu wa Anfield hadi meza ya Blackjack Monaco, utapata furaha ambayo hujawahi pata na Betway.

Jisajili leo na ujionee michezo na michuano bora na maarufu DunianiKasino na games, Betgames, Lucky Numbers, na mengine mengi.

Bashiri Michezo Bora

Ikiwa unahitaji kubashiri kwenye mashujaa wa nyumbani au majina makubwa ndani ya Bundesliga, tunakupa odds bomba kwenye michezo yote maarufu mpira wa miguu ligi na michuano kutoka Ligi Kuu ya Tanzania hadi Fainali ya Kombe la Dunia la FIFA.

Bado hatujamaliza, kama wewe ni shabiki wa ndondi, mbio, mbio za magari, Mpira wa kikapu au mchezo wowote, Basi Betway ni sehemu nzuri kwako. Bashiri kwenye michezo yote hii na zaidi live au kabla mchezo haujaanza.

Hii ni orodha ya michezo maarufu zaidi unayoweza kubashiri na Betway:

 • Soka
 • Ndondi
 • Mpira wa Kikapu
 • Rugby
 • Esports
 • Tenisi
 • Cricket
 • Ice Hockey
 • Field Hockey

Tembelea Michezo leo na bashiri kwenye michezo ya kusisimua Duniani.

Suspenseful Casino and Live Casino games

Kutoka mamia ya sloti mtandaoni hadi scratch games na video poker, utahisi burudani isiyo na kikomo ukitembeleaKasino ya Mtandaoni ya Betway na chukua mchezo wowote kwajili ya kuzungusha. Anza safari yako nasi na upate msisimko hujawaipata hapo zamani.

Ikiwa unapendelea dili halisi, basi Live Kasino ya Betway ndio kitu unahitaji. Na wachezeshaji halisi, kwenye meza halisi na michezo ya kasino pendwa inaonekana moja kwa moja kwenye skrini yako ya kifaa chako pendwa, utahisi umekaa kwenye meza yako pendwa ya kasino – tofauti pekee ni utakuwa ukifurahia burudani kutoka nyumbani kwako.

Tembelea Kasino au ukurasa wa Live Kasino sasa ufurahie burudani kamili..

Thrilling Betgames

Mwamuzi amepuliza filimbi ya mwisho, lakini haimaanishi mchezo umeisha. Tuna uwanda mpana Betgames tunakupa michezo mingi ya kusisimua kukufanya uburudike kwa masaa mengi. Ikiwa unafurahia kubashiri kwenye Wheel of Fortune, au unapendelea michezo ya haraka kama Speedy 7, kuna kitu kwaajili ya kila mtu.

Moja ya kitu kizuri kwenye Betgames ni droo mpya inachezwa kila baada ya dakika 2 mpaka 5 inamaana utashinda mara nyingi Zaidi. Tembelea ukurasa wa Betgames leo na ubashiri kwenye michezo yako pendwa.

Bashiri kwenye droo za kimataifa na Lucky Numbers

Je! Umewahi kutaka kucheza Goslotto ya Urusi, UK 49s au Daily Millions ya Ireland? Basi hujaona kitu bado Lucky Numbers, Sehemu nzuri zaidi kubashiri kwenye michezo zaidi ya 1,000 ya kimataifia kutoka duniani kote.

Kutoka Afrika Kusini Powerball hadi USA Take 5 unaweza kubashiri yote na nafasi ya kushinda mpaka 120,000x dau lako, unaweza kuondoka kama tajiri.

Pakua App ya Betway

Ingia mchezoni popote ulipo kwapakua app ya Betway na usikose nafasi nzuri ya kubashiri. Na rahisi kutumia, inafunguka haraka na gharama ndogo za intaneti, ingia mchezoni popote ulipo. App itakupa uwezo wa kuona kila kitu kama uko kwenye tovuti vile, kwahiyo ikiwa unahitaji kucheza mchezo wako pendwa, ongeza salio kwenye akaunti yako au kutoa pesa uliyoshinda, unaweza kufanya yote hayo kwa haraka kwenye simu yako.

Namna ya Kujisajili

Kama umeshaona vya kutosha sasa unataka kuzama mchezoni, basi ni wakati wa kujisajili na ubashiri kwenye michezo yote na Betway. Fuata mwongozo huu ili uanze:

 1. Kutoka ukurasa wa nyumbani, bonyeza kwenye Jisajili
 2. Jaza taarifa zinazohitajika
 3. Kubali vigezo na masharti
 4. BonyezaJisajili kukamilisha mchakato

Ni hivyo tu, utakuwa tayari umejisajili. Tembelea Benki na utumie yoyote kati ya njia zetu rahisi na salama za kuweka pesa.

Msaada na Huduma kwa Wateja

Ikiwa unahitaji msaada wowote kuhusu akaunti yako, tafadhali jisikie huru kuwasiliana nasi. muda wowote na mmoja wa wahudumu wetu atakuhudumia kirafiki.

Betway imesajiliwa kikamilifu kama mtoa burudani mtandaoni na tunafanya kila kitu kuhakikisha miamala yote inalindwa kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu, kutengeneza uwanja salama na uliodhibitiwa ambao unaweza kubashiri wakati wowote na mahali popote.

Top