Betway Win Boost
Betway Win Boost
PATA HADI
20x KURUDISHIWA UBASHIRI WAKO
Kichocheo cha Kurudishiwa Fedha cha Betway kinakupatia tumaini la kubashiri zaidi kwenye timu na wachezaji uwapendao. Na chaguzi sita au zaidi kwenye mkeka wako wa Ubashiri wa Mkusanyiko, na utarudishiwa hadi 20x ya ubashiri wako kwa fedha taslimu iwapo moja ya bashiri zako itakuangusha.
 
Inavyofanya kazi
Ongeza miguu sita au zaidi kwenye mkeka wako wa Ubashiri wa Mkusanyiko na iwapo moja ya bashiri zako itakuangusha, tutakurudishi hadi 20x ya ubashiri wako. Kadri unavyoongeza mechi, ndivyo rejesho lako la fedha linakuwa kubwa iwapo utapoteza.
 
Rejesho la ubashiri litafanya kazi kama ifuatavyo:
Idadi ya machaguo Kiwango cha chini cha nafasi
6 hadi 10 1.5 kwa kila uchaguzi
11 hadi 15 1.3 kwa kila uchaguzi
16 hadi 20 1.3 kwa kila uchaguzi
21 au zaidi 1.3 kwa kila uchaguzi
Ubashiri uliorudishwa
100% ya rejesho la ubashiri
200% rejesho la ubashiri
10x ubashiri umerudishwa
10x ubashiri umerudishwa

Mikeka ambayo imepoteza kwa uchaguzi mmoja tu itastahiki kurejeshewa fedha.
Ubashiri wa fedha taslimu tu.
Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.
Sheria na Masharti
Vigezo na masharti ya promosheni
 1. Akaunti halali ya Betway inatakiwa ili kushiriki kwenye promosheni hii.
 2. Mikeka wa Ubashiri wa Mkusanyiko wenye bashiri 6-10 pamoja na nafasi za angalau 1.5 kwa kila ubashiri ili kukidhi vigezo na mikeka ya Ubashiri wa Mkusanyiko wenye bashiri 11+ pamoja na nafasi angalau 1.3 kwa kila ubashiri ili kukidhi vigezo. Sio bashiri zote kwenye mkeka wa ubashiri zinapaswa kufikia kiwango cha chini kabisa cha masharti ya nafasi, hata hivyo, bashiri tu ambazo zimekidhi masharti zitastahiki.
 3. Ubashiri wa fedha taslimu tu.
 4. Rejesho la fedha litawekwa kama fedha taslimu.
 5. Rejesho la fedha ni halali tu iwapo Ubashiri wako wa Mkusanyiko utapoteza kwa ubashiri mmoja.
 6. Bashiri zote za kabla ya mechi, moja kwa moja na papo hapo zitastahiki.
 7. Masoko yoyote ya ubashiri ambayo yanaweza ama kusababisha mteja kurudishiwa dau lake au kuzalisha ushindi finyu utachukuliwa kama ubashiri unaoshinda m.f. Droo Hakuna Ubashiri.
 8. Soko lolote la ubashiri ambalo linasababisha ushindi finyu litachukuliwa kama ubashiri wenye ushindi.
 9. Iwapo mechi imefutwa, imeahirishwa au imebatilishwa haitachangia kwenye idadi ya bashiri katika mkeka, lakini haitaukosesha sifa mkeka wote. Iwapo idadi ya bashiri zinazokidhi vigezo katika mkeka zimeshuka chini ya sita, mkeka hautakuwa na sifa tena ya kurudishiwa fedha.
 10. Bashiri ambazo Zimelipwa Fedha hazitakuwa na sifa ya kurudishiwa fedha.
 11. Mchezo usio wa kawaida katika Betway utakuwa kisababishi cha kuondolewa papo hapo kwenye Promosheni yoyote.
 12. Masharti ya kawaida  ya kushiriki na vigezo na mashart kuzingatiwa.
Maingizo yote kutoka kwenye namba za simu za washiriki wasiostahiki yatakataliwa.
Top