Betway
Betway

Betway kwa vifaa vya Android

Kwa sababu ya vizuizi vinavyodhibiti programu za kubashiri pesa halisi, hautaweza kupakua programu moja kwa moja kutoka Android Play Store. Kwahiyo, kupakua App ya Betway kwa simu ya Android, utahitaji kwanza kuruhusu upakuaji kutoka kwa Unknown Sources. Mara tu unapofanya hivyo, utahitaji kurudi kwenye ukurasa huu na utumie mojawapo ya vitufe vyetu vya Pakua App

Jinsi ya kuruhusu kupakua kutoka Unknown Sources:

  • Nenda kwenye menyu ya Settings bonyezaSecurity
  • Chaguo la Unknown Sources litakuwa chini ya Device Administration
  • Bonyeza kuruhusu kupakua kutoka kwenye Unknown Sources na thibitisha chaguo lako
  • • Mwisho, rudi nyuma kwenye ukurasa huu na bonyeza Pakua App

Maelekezo ya hapo awali ni hatua za kuwezesha Unknown Sources. Sehemu ya Security inaweza kutofautiana kutoka kifaa hadi kifaa lakini kuna uwezekano kuwa na neno "security" katika Setting.

Top