Daima tunatafuta njia mpya ya kukupa odds kubwa kwenye michezo yote unayoipenda.
Iwe ni kandanda, mpira wa kikapu, ndondi, au mchezo mwingine wowote, Betway Boosts ina kuhakikisha odds kubwa kwenye mechi kubwa.
Inavyofanya kazi
Ni mechi zilizochaguliwa ili kukupa odds kubwa, usipoteze muda tembelea ukurasa wa Betway Boosts.
 
Mechi zetu zinaboreshwa kila wakati kuhakikisha unapata odds bora zaidi wakati wote.
Sheria na Masharti
 1. Promosheni hii ni kwa wateja wa Betway wapya na wanaondelea.
 2. Akaunti halali ya Betway inaweza kushiriki promosheni hii.
 3. Betway Boosts inahesabu matokeo ya mwisho baada ya dakika 90 pamoja na dakika za nyongeza. Tofauti na hapo muda wa ziada, penati nk. Hazitahesabiwa kama matokeo ya mchezo.
 4. Ikiwa chaguo kwenye Betway Boost hajacheza/haijafanyika, bashiri zote zitakuwa batili, isipokuwa matokeo yanajulikana tayari.
 5. Betway Boosts ni promosheni. Odds zinazotolewa ni kubwa kuliko zinazotolewa kwenye bashiri za kawaida. Ili kuhakikisha wateja wengi zaidi wanafikiwa na promosheni hii, kiwango cha juu cha dau kinaweza kuwa kidogo tofauti na dau linalowekwa kwenye bashiri za kawaida.
 6. Odds za Betway Boosts zinaweza kubadilika.
 7. Sheria zote za kubashiri michezo zitatumika kwenye Betway Boosts, au vinginevyo
 8. Ikiwa farasi aliyechaguliwa kwenye mbio za farasi katika Betway Boost na hakukimbia, ubashiri utakuwa batili. 
 9. Promosheni hii inaweza kusitishwa kulingana na vigezo vya Betway wakati wowote bila taarifa.
 10. Betway ina haki ya kumtoa mchezaji yoyote katika promosheni hii.
 11. Vigezo na Masharti na Sheria za Promosheni kuzingatiwa.
Top