WEKA-NAFASI-YA-UBASHIRI
SAMBAZA UCHAGUZI WAKO WA UBASHIRI
Yaani ni kama kutazama mchezo uupendao, kubashiri kwenye mchezo huo ni vizuri zaidi pale unapofanya hivyo pamoja na marafiki zako. Kwa kutumia Weka-Nafasi-ya-Ubashiri, unaweza kuweka ubashiri na kuisambaza kwa marafiki zako ili waweze kufanya uamuzi pia.
Inavyofanya kazi
Jinsi ya kutengeneza msimbo wa kipekee wa Weka-Nafasi-ya-Ubashiri:
Kuna njia mbili rahisi unazoweza kutumia kutengeneza na kusambaza msimbo wa kipekee wa Kuweka-Nafasi-ya-Ubashiri.
 
Chaguo la 1:
 • Kwenye mkeka wako, chagua Ubashiri Mwingi
 • Ongeza machaguo yako
 • Bofya kwenye Bashiri Sasa
 • Utapata msimbo wa uthibitisho wa Kubashiri kwa Mafanikio
 • Utaweza kusambaza msimbo wako kupitia WhatsApp, Twitter, Facebook, SMS, na barua pepe
 • Unaweza kusambaza msimbo wako wa kuweka nafasi wakati wowote kwenye ukurasa wako wa Bashiri Yaliyo Wazi kwa kubofya kwenye mshale wa kijani wa kusambaza juu ya kila ubashiri
 
Chaguo la 2:
 • Kwenye mkeka wako, chagua Ubashiri Mwingi
 • Ongeza machaguo yako
 • Bofya kwenye Weka Nafasi. Hili litakuwezesha kutengeneza msimbo wa kuweka nafasi bila kuweka ubashiri
 • Utaona kiibukizi chenye msimbo wako wa kipekee wa kuweka nafasi
 • Kisha utaweza kusambaza msimbo wako kupitia WhatsApp, Twitter, Facebook, SMS, na barua pepe
 • Iwapo utatumia chaguo hili, unapaswa kuukumbuka msimbo wako kwa sababu hutaweza kuupata tena mara baada ya kiibukizi kufungwa
 
Mtu yeyote ambaye ana msimbo wako wa kipekee anaweza kwenda kwenye kichupo cha Ubashiri Mwingi katika mkeka wake kisha kuingiza msimbo hupo kwenye upao wa kutafuta. Hili litatengeneza ubashiri kwa chaguzi zile zile.
 
Kutumia msimbo wa kuweka nafasi:
Pia unaweza kuingiza msimbo wa kuweka nafasi kupitia hatua zifuatazo:
 • Kwenye mkeka wako, chagua Ubashiri Mwingi
 • Kuandika msimbo wa kuweka nafasi kwenye upao wa kutafuta
 • Mkeka wako utajiongeza kiotomatiki kwa bashiri zinazohusiana na msimbo huo
 • Mkeka wako ni rahisi kubadilishika na unaweza kuongeza au kuondoa chaguzi
 
Weka-Nafasi-ya-Ubashiri inapatikana tu kwa matukio ya kabla ya mechi. Misimbo ya kuweka nafasi kwa mchezo ambao umeanza kuchezwa, au umetokea, utatengeneza matukio ambayo bado hayajaanza.
Sheria na Masharti
Vigezo na masharti
 1. Weka-Nafasi-ya-Ubashiri inapatikana tu kwa matukio ya kabla ya mechi. Misimbo ya kuweka nafasi kwa mchezo ambao umeanza kuchezwa, au umetokea, utatengeneza matukio ambayo bado hayajaanza.
 2. Msimbo wa kuweka nafasi unaweza kutengenezwa tu kwenye kichupo cha Ubashiri Mwingi.
 3. Mikeka iliyotengenezwa kupitia msimbo wa kuweka nafasi rahisi kubadilishika. Watumiaji wanaweza kuo geza, kubadili na kufuta chaguzi kwenye mkeka.
Tafadhali pia tembelea ukurasa wa vigezo na masharti kwa ajili ya vigezo na masharti kamili ya promosheni.
Top