Usisubiri mchezo kwisha ili kudai ushindi wako. Tumia Salio kamili wa bashiri zako na funga katika wasifu wako kabla ya mwamuzi hajapuliza kipyenga cha mwisho. Unaweza pia kutumia kipengele hicho kurudishiwa kiasi fulani cha dau lako iwapo hutashinda.
 
Jishi ya Kurudushiwa Fedha katika Ubashiri wako:
Kufahamu iwapo mechi itapatikana kwa ajili ya Kurudishiwa Fedha, hakikisha unatazama alama ya Pata Fedha mbele ya ratiba.
 
Mara baada ya kuweka ubashiri unaweza Kurudishiwa Fedha kwa kufuata hatua hizi:
 • Bofya kwenye Menyu au Akaunti Yangu
 • Chagua Bashiri Zangu
 • Bofya kwenye Bashiri Zilizo Wazi
 • Hapa utaona Ofa yako ya Kurudishiwa Fedha
 • Bofya Kurudishiwa Fedha
 • Thibitisha chaghuo lako
 
Kiibukizi kinachothibitisha Kurudishiwa kwako Fedha kitaonekana kwenye skrini. Fedha zako zinaweza kuchukua sekunde chache kuonekana kwenye pochi lako.
 
Kiasi cha fedha unachorudishiwa kinaamuliwa kwa muda wa kurudishiwa fedha.

Vigezo na Masharti
 
 1. Kipengele wa Kurudishiwa Fedha kinapatikana kwa ajili ya Bashiri Pekee na za Mkusanyiko tu.
 2. Pale ambapo ubashiri wowote unapozuiliwa au kufungwa papo hapo baada ya maombi ya mteja kabla ya kukamilisha Kurudishiwa Fedha, Kurudishiwa Fedha kutazuiliwa.
 3. Iwapo thamani ya Kurudishiwa Fedha kumebadilika mara moja baada ya maombi ya mteja kabla ya kukamilika kwa Kurudishiwa Fedha, ujumbe unaothibitisha mabadiliko haya yataonyeshwa kwa mchezaji, mchezaji lazima athibitishe na kukubali mabadiliko.
 4. Betway ina haki ya kuondoa au kufuta ofa za Kurudishiwa Fedha bila kutoa taarifa.
 5. Betway haitoi hakikisho la upatikanaji wa ofa za Kurudishiwa Fedha kwa tukio au aina yoyote ya ubashiri wakati wowote, hata kama ilitolewa kwa tukio au aina kama hiyo ya ubashiri.
 6. Betway haiwajibiki iwapo Kurudishiwa Fedha hakupatikani kwa sababu za kiufundi au sababu nyingine zozote. Tunashauri waziwazi kutoweka bashiri kulingana na mawazo kwamba Kurudishiwa Fedha kutakuwepo hapo baadae kwa ubashiri husika.
 7. Iwapo tatizo lolote la kiufundi linasababisha kasoro katika ukokotoaji wa malipo ya ofa ya Kurudishiwa Fedha. Betway ina haki ya kubatisha ofa hiyo, au iwapo Kurudishiwa Fedha teyali kumefanyika, kunyang'anya malipo.
 8. Iwapo Kurudishiwa Fedha kutakubalika na Betway pale matokeo ya ubashiri husika yanapokuwa yameamuliwa, tuna haki ya kubatilisha Kurudishiwa Fedha. Pia tuna haki ya kubatilisha na kukomboa Kurudishiwa Fedha pale panapokuwa na kiashiria cha matumizi mabaya ya kipengele cha Kurudishiwa Fedha.
 9. Kipengele cha Kurudishiwa Fedha hakipatikani kwa ajili ya bashiri zilizowekwa kama Bashiri za Bure.
 
Tafadhali pia tembelea ukurasa wa vigezo na masharti kwa ajili ya vigezo na masharti kamili ya promosheni.
Top