Nenda kwenye ukurasa wa Nyumbani au Bonyeza Kitufe cha Zinazoendelea kwenye sehemu ya michezo
Tafuta mchezo au michezo ambayo ungependa kubashiri kwa kutumia njia zilizoorodheshwa hapo chini:
- Chagua Ligi husika au ligi ambazo ungependa kubashiri kisha Bonyeza Boresha
b. Pia unaweza kutafuta mchezo au timu husika kwa kutumia Tafuta

Aina ya chaguo la ubashiri 1x2 ni ubashiri wa Matokeo ya Mechi. Ikiwa unataka kuona machaguo mengi zaidi, Bonyeza Bashiri Zaidi
Kidokezo: Bashiri Zinazoendelea, zinaboreshwa kila wakati. Iwapo zinaongezeka, zitakuwa rangi ya kijani. Iwapo zinapungua, zitakuwa nyekundu. Iwapo unaona alama ya kufuli, ubashiri katika matokeo haya umeondolewa
Chagua ubashiri wako na utaongezwa kwenye mkeka wako moja kwa moja
Kamilisha mkeka wako kwa kuingiza kiasi unachotaka kubashiri kisha Bonyeza Bashiri Sasa
>>> Kubashiri sasa ,
bonyeza hapa