1. Muhimu
Tunatii sheria zote zinazotumika za kutunza taarifa na faragha. Ikiwa unahitaji kufahamu namna tunavyotunza au kutumia taarifa binafsi unayotupatia, basi unaweza kutuma maswali yako kwa [email protected]
  1. Taarifa zilizokusanywa
Wakati wa kufungua akaunti; unapotumia akaunti yako; na unapohitaji kutoa pesa kwenye akaunti yako, ("Taarifa binafsi") zitahitajika, ikiwemo: namba ya kitambulisho kilichotolewa na serikali, namba ya simu, jina la kwanza na la mwisho, tarehe ya kuzaliwa, taarifa za kadi ya benki, anwani ya nyumba au anwani nyingine, barua pepe au taarifa za mawasiliano.
Kwa kuongezea, tunaweza kukusanya taarifa kwa kurekodi simu zote, kufuatilia tovuti unazotembelea mtandaoni, taarifa ya shughuli unazofanya na kurasa ulizotembelea kwenye tovuti. Taarifa zote binafsi zilizokusanywa zinatumika kwa mujibu wa sheria za faragha, zinachukuliwa kwa kusudi maalum, kuhifadhiwa kwa usalama na hutumiwa kwa malengo ya masoko kwa kufuata sheria na kanuni. Tafadhali kumbuka mawasiliano yote na simu yanaweza kurekodiwa kwa madhumuni ya mafunzo.
  1. Kutoa Taarifa
Tutatoa idhini kwa taasisi ya kifedha ambayo ulitumia wakati wa kufungua akaunti, kutoa taarifa zako ikiwa zitaombwa na Gaming Board kuhusiana na michezo yako ya kubahatisha. Tutatoa taarifa zako binafsi tutakapoamriwa kufanya hivyo na mamlaka yoyote inayosimamia au chini ya kifungu chochote cha kisheria kilicho katika sheria inayosimamia. Pia tutatoa taarifa kama inavyotakiwa kutekeleza Vigezo na Masharti yetu.
Kwa madhumuni ya kudhibiti utapeli, unakubali kwamba tunayo haki ya kutoa taarifa zako binafsi kwa washirika wengine, pamoja na watoa huduma wa AVS na washirika wengine, ikiwa zitahitajika. Kwa kuongezea, tuna haki ya kutoa taarifa binafsi kwa wahusika ikiwa tuna sababu kuhisi ukiukwaji wa kanuni kwenye akaunti.
  1. Customer Relationship Management (CRM) na Taarifa za Masoko
Tuna haki ya kutumia taarifa zako binafsi kwa CRM/ kwa lengo la masoko. Kwa kufungua akaunti unakubali moja kwa moja kupokea taarifa kuhusu ofa zetu. Unaweza kuchagua kujitoa wakati wowote kwa kuwasiliana nasi kwa [email protected]
Tovuti yetu mara kwa mara ina linki kutoka kwenye tovuti za mitandao washirika, wachapishaji matangazo. Tafadhali kumbuka kuwa tovuti hizi zina sera za faragha na hatuwajibiki kwa sera zao. Tafadhali fuatilia sera hizi kwa uangalifu kabla ya kuwasilisha taarifa binasfi, kwani hatutawajibika kwa sera za tovuti washirika.
  1. Marekebisho ya Taarifa ya Akaunti isiyo sahihi
Una haki ya kuomba kuona taarifa zako binafsi na/au ya kurekebisha na/au kufuta zilizokosewa na/au taarifa zisizo sahihi ilimradi kanuni za michezo ya kubahatisha haziitaji sisi kuhifadhi taarifa binafsi kukuhusu.
Kutumia haki yako, unahitajika kuwasilisha ombi pamoja na uthibitisho wa utambulisho kwa [email protected]
  1. Cookies
Cookies ni mafaili yenye jumbe za taarifa chache ambazo hupakuliwa kwenye kifaa chako wakati unatembelea tovuti. Kwa ujumla hutumiwa na wavuti nyingi kuboresha uzoefu wako mtandaoni na kuhakikisha kuwa yaliyomo hupatikana na kutumika kwa ufanisi zaidi.
Cookies zinafanya kazi tofauti. Kwa mfano, cookies zingine ni cookies za muda, ambazo hupakuliwa kwa kifaa chako kwa muda kwa kipindi ambacho unatembelea wavuti fulani. Cookies hizi zinaweza kuruhusu kutembelea kurasa tofauti kwa ufanisi na kuiwezesha tovuti kukumbuka machaguo yako. Cookies nyingine ni persistent cookies, zinaweza kutumika kusaidia tovuti kukukumbuka kama mgeni anayerejea au kuhakikisha matangazo ya mtandaoni unayopokea yanafaa zaidi kwa mahitaji yako.
Matumizi ya msingi ya cookies kwenye tovuti yetu, ni ama za kwetu au ni kwaajili ya washirika wetu; is to:
  • Inakuwezesha kuokoa muda na kuhakikisha upatikanaji wa tovuti baadae;
  • Kutambua namna watu wanavyotembelea kwenye tovuti yetu kuboresha huduma na ufanisi katika mawasiliano yetu;
  • Kukusanya na kusambaza taarifa za kifaa na kugundua na kuzuia vifaa vinavyohusika na utapeli na utakatishaji pesa;
  • Kutambua akaunti na kifaa na kugundua na kuzuia miamala ya kitapeli na matumizi mabaya ya akaunti zetu za wateja na Huduma zetu identify account and device irregularities and detect and prevent fraudulent transactions and abuse of our customer accounts and our Services.
Unakubaliana nasi kuwa, mara kwa mara, kuweka cookies kwenye kifaa chako huhifadhi taarifa (kama jina, neno la siri, taarifa nyingine binafsi, barua pepe, taarifa za kifaa chako cha mawasiliano kama aina na anuani ya IP) kutumia kikamilifu utendaji na Huduma kwenye tovuti yetu na kuruhusu browser yako kukutambulisha kama mtumiaji. Hii inakuwezesha kutokuingiza taarifa kila wakati unapotembelea tovuti. Cookies hizi haziwezi kutumika kuendesha programu au kuweka virusi kweye kompyuta yako na umepewa kipekee. Cookies hizi zinaweza kusomwa na web servers amabazo zimeweka cookies kwenye kifaa chako.
Wakati wowote unaweza kurekebisha mipangilio ya browser kuzuia cookies baadhi au zote kutoka kwetu. Japo ikiwa utazuia cookies kutoka kwetu baadhi ya huduma kwenye tovuti zinaweza zisifanye kazi kama ilivyopangwa. Mfano, unaweza kushindwa kabisa kutembelea tovuti yetu.
Kwa taarifa zaidi kuhusu cookies na namna ya kufuta kwenye browser zinaweza kupatikana kwa:  http://www.allaboutcookies.org.
 
 
  1. Mawasiliano na Kujitoa
Wakati wa kufungua akaunti kutumia huduma zetu, unakubali kuwa tuwasiliana na wewe kwa njia zote za mawasiliano (iwe kwa maandishi au mazungumzo, kwa njia ya barua pepe, simu au SMS) kwa kuzingatia mambo yanayohusu na akaunti yako.
Kujitoa katika njia zote za mawasiliano, tafadhali tumia ‘Unsubscribe’ linki inayopatiakana kwenye barua pepe za promosheni au wasiliana nasi [email protected]
 
Top