Betway Win Boost
Betway Win Boost
ZIDISHA FEDHA ZAKO ZA
USHINDI WA
UBASHIRI MKUSANYIKO KWA HADI 100%
Zidisha fedha zako za ushindi wa ubashiri mkusanyiko kwa hadi 100%. Kwa kila mechi yenye matumaini ya 1.2 au zaidi iliyowekwa kwenye mkeka wako wa Ubashiri Mkusanyiko, tutazidisha fedha zako za ushindi. Kadri unavyoweka teuzi nyingi zaidi, ndivyo uzidishaji unavyokuwa mkubwa zaidi.
 
Fedha zako za ushindi zinazozidishwa zitalipwa kwenye akaunti yako kama pesa taslimu.
Inavyofanya kazi
Ili kukamata fursa ya Uzidishaji wa Ushindi, ongeza teuzi tano au zaidi zenye matumaini ya angalau 1.2 kwa kila uteuzi kwenye mkeka wako. Kadri unavyoweka zaidi, ndivyo unavyozawadiwa zaidi.
Idadi ya teuzi Asilimia ya Uzidishaji wa Ushindi
5 5%
6 10%
7 15%
8 20%
9 25%
10 30%
11 35%
12 40%
13 45%
14 50%
15 55%
16 60%
17 65%
18 70%
19 75%
20 80%
21 85%
Idadi ya teuzi Asilimia ya Uzidishaji wa Ushindi
22 90%
23 95%
24 100%
25 100%
26 100%
27 100%
28 100%
29 100%
30 + 100%

Ubashiri wa fedha taslimu tu.
Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.
Sheria na Masharti
Vigezo na masharti ya promosheni
 1. Akaunti halali ya Betway inatakiwa ili kushiriki kwenye promosheni hii.
 2. Fedha za ushindi zilizozidishwa zinahusika kwa kubashiriwa kwenye teuzi za kabla ya mechi tu.
 3. Uzidishaji wa Ushindi unakokotolewa kwenye ubashiri wa ubashiri mkusanyiko wenye teuzi tano au zaidi.
 4. Uzidishaji unaanzia 5% (kwa matukio matano) na unaongezeka kadri unavyoongeza teuzi zaidi kwenye mkeka, hadi 100%. Kadri unavyoongeza teuzi nyingi zaidi kwenye mkeka wako, ndivyo Uzidishaji wako wa Ushindi unavyokuwa mkubwa zaidi.
 5. Kiwango cha chini cha matumaini ya 1.2 kinahitajika kwa kila uteuzi kwenye mkeka wa Ubashiri Mkusanyiko.
 6. Teuzi zenye kiwango cha chini cha matumaini yaliyofuzu ndizo tu zitahesabiwa katika ngazi za uzidishaji. Teuzi zisizofuzu hazitahesabiwa.
 7. Baada ya kushughulikiwa, fedha za ushindi zilizozidishwa zitawekwa kwenye akaunti yako kama pesa taslimu.
 8. Ubashiri mmoja mmoja pamoja na ubashiri kwenye Mashindano yote hauna ustahiki kwa fedha za ushindi zinazozidishwa.
 9. Masoko yoyote ya ubashiri yanayoweza ama kusababisha mteja kurudishiwa dau lake au kuzalisha ushindi kiasi yataondolewa kwenye fedha za ushindi zinazozidishwa m.f. Hakuna Ubashiri.
 10. Ikiwa teuzi zitasitishwa au kubatilishwa, teuzi zilizobaki ambazo zinafuzu ndizo zitakuwa na ustahiki wa Uzidishaji wa Ushindi. Teuzi zilizobaki lazima zikidhi kiwango cha chini cha matumaini na idadi ya ubashiri inayotakiwa ili kuzawadiwa Uzidishaji wa Ushindi. Kwa hiyo uzidishaji yakini unaozawadiwa unaweza kutofautiana na kiasi cha uzidishaji kilichoainishwa kwenye mkeka halisi.
 11. Uzidishaji wa ushindi unaoneshwa kiotomatiki kwenye mkeka wako, usipoona Uzidishaji wa Ushindi, basi hujafuzu. Hakuna uongezaji wa uzidishaji utakaofanyika kikuli.
 12. Ukiamua kuchukua pesa mapema kwenye mkeka wako, Uzidishaji wako wa Ushindi utatwaliwa.
 13. Tuna haki ya kufuatilia shughuli zote za mteja ili kubaini udanganyifu, uchezaji usio wa kawaida na nia mbaya. Vitendo vyote hivyo vinakatazwa na vinaweza kusababisha kutolewa mara moja kwenye promosheni.
 14. Matakwa ya kawaida ya kushiriki na vigezo na masharti kuzingatiwa.
 15. Maingizo yote kutoka kwenye namba za simu za washiriki wasiostahiki yatakataliwa.
Top