Ligi Kuu

EPL - Manchester United v Manchester City

27/10/2023 13:57:15
Manchester United watakuwa mwenyeji wa Manchester City ugani Old Trafford Oktoba 29 katika mechi ya ligi ambayo itakuwa ni dabi ya 191, mechi itakayo kuwa na athari kubwa katika msimu wa United.
 

EPL - Chelsea v Arsenal

20/10/2023 17:52:17
Arsenal itapambana na Chelsea katika mechi ya ligi ugani Stamford Bridge Jumamosi Oktoba 21. Mechi hii itakuwa yao ya nne dhidi ya timu zilizopo mjini London zinazoshiriki ligi kuu.
 

EPL - Arsenal v Manchester City

06/10/2023 16:34:58
Manchester City watakabiliana na Arsenal katika mechi ya ligi ugani Emirates mnamo Jumapili Oktoba 8.
 

EPL - Bournemouth v Arsenal

29/09/2023 16:58:44
Arsenal wanatarija kupata ushindi watakapokutana na Bournemouth katika mechi ya ligi ugani Vitality Jumamosi Septemba 30.
 

EPL - Manchester City v Nottingham Forest

22/09/2023 16:16:32
Manchester City wanatarajia kushinda mchezo wao wa sita wa ligi mfululizo tangu kuanza kwa msimu huu mpya watakapoialika Nottingham Forest ugani Etihad Jumamosi Septemba 23.
 

EPL - Wolverhampton Wanderers v Liverpool FC 

13/09/2023 13:19:56
Wolverhampton Wanderers na Liverpool watakabiliana kwenye mechi ya ligi ugani Molineux mnamo Septemba 16.
 

Betway becomes Global Betting Partner of Arsenal

01/09/2023 10:11:50
Leading global online betting and gaming brand Betway has today announced a deal to become the Official Global Betting Partner of Arsenal men’s team.

EPL - Newcastle United v Liverpool

25/08/2023 23:32:59

Liverpool wanapania kupata ushindi wao wa pili wa ligi msimu huu watakapokabiliana na Newcastle ugani St James' Park Jumapili, Agosti 27.

EPL - Tottenham Hotspur v Manchester United

18/08/2023 17:11:01
Manchester United watahitaji kuimarisha uchezaji wao iwapo kushinda mechi ya sita mfululizo dhidi ya Tottenham watakapokutana Jumamosi Agosti 19 Tottenham Hotspur Stadium kwenye mechi ya ligi.
 

EPL - Manchester United v Fulham

26/05/2023 13:47:21
Manchester United wanatazamia kuendeleza ubabe wao dhidi ya Fulham watakapokutana kwenye mechi ya ligi ya kumalizia msimu mnamo Jumapili Mei 28.