Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
12/06/2026 15:03:58
KIUNGO Bakari Msimu ameamua kujiunga na Simba kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kushawishiwa na ofa nono inayodaiwa kufikia Sh milioni 120.
12/06/2026 14:47:07
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema klabu hiyo ingependa kuwa na kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’.
28/05/2026 11:31:22
BEKI wa Yanga SC, Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’, amesema kikosi hicho kina kila sababu ya kuwa na matumaini makubwa ya kutetea ubingwa wa.
27/05/2026 07:36:31
MWENYEKITI wa Simba SC, Murtaza Mangungu, ameweka wazi msimamo wa klabu hiyo kuelekea msimu huu, akisisitiza kuwa malengo yao makubwa bado ni yale yale.
25/05/2026 11:52:30
Fainali ya Kombe la Dunia itakayochezwa katika uwanja wa MetLife huko New Jersey ndiyo yenye tiketi ghali zaidi. Tiketi ya bei ya chini kabisa imevuka dola 8,000.
25/05/2026 11:45:41
KIUNGO mshambuliaji wa Allan Okello amefunguka kuhusu mjadala unaoendelea miongoni mwa mashabiki wa soka wa Tanzania wa kumlinganisha na nyota wa Clatous.