Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
18/03/2026 09:09:02
Kwa ujumla, Yanga wanakabiliwa na kipindi kigumu kinachohitaji umakini mkubwa wa benchi la ufundi na wachezaji waliobaki. Wakati wao wakihangaika kuziba mapengo, Simba.
18/03/2026 09:06:00
Kwa upande wa Rushine, Simba imefanya uamuzi wa kumuongezea mkataba baada ya kwanza kujiridhisha kwamba beki huyo hana majeraha ya mara kwa mara.
18/03/2026 09:01:07
Simba na Yanga haziwezi kuachana kushindana na kutaniana, na huo ndio utani wa jadi wenyewe, mmoja anapofanya vizuri lazima atamtambia asifanya vizuri,...
02/03/2026 09:51:12
KIPUTE cha watani wa jadi kati ya Yanga na Simba kinatarajiwa kupigwa Jumapili, Machi 01, 2026, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kuanzia saa 2:15 usiku.
02/03/2026 09:45:29
Kwa jumla, ndani ya mechi 15 za karibuni, Manchester City wameshinda mara tano, sare nne na kupoteza mara sita dhidi ya Real Madrid. Cha kuvutia zaidi ni kwamba.
02/03/2026 09:38:34
Mara ya mwisho Simba kuifunga Yanga ilikuwa katika Ngao ya Jamii iliyochezwa Agosti 13, 2023 kwa penalti 3-1, baada ya hapo, Yanga imetembeza vipigo vinne katika Ligi na viwili Ngao ya Jamii.