Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

NEUER, MUSIALA, WIRTZ WABEBA TUMAINI LA UJERUMANI

25/05/2026 10:00:02
KOCHA wa timu ya taifa ya Ujerumani, Julian Nagelsmann ametangaza rasmi kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 26 kitakachoiwakilisha nchi hiyo.
 

KUHUSU BAJABER ‘KUPIGWA PANGA’ SIMBA... BARKER KAMTAZAMA WEE... KISHA AKASEMA HILI…

25/05/2026 09:55:04
WAKATI maswali yakiendelea kuwa mengi kuhusu hatma ya kiungo Mohamed Bajaber, Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker amesema kwenye hesabu zake.
 

MHHHH… HII YA CHAMA NA OKELLO NI SAWA NA PIGA NIKUPIGE…

15/05/2026 07:51:32
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello na Clatous Chama wa Simba, wameanzisha ligi yao kufuatia kila mmoja kufunga katika michezo mitatu mfululizo ya Ligi Kuu Bara.

KUHUSU UWANJA MPYA WA YANGA… HAYA HAPA YANAYOMPA SIFA MBADALA GSM

15/05/2026 07:45:28
RAIS wa Yanga injinia Hersi Said amesema mradi wa ujenzi wa uwanja mpya wa klabu hiyo, utawafanya kumiliki asilimia 50 huku mwekezaji akimiliki 50.
 

HAYA HAPA MAMBO 10 YALIYOJITOKEZA MASHUJAA v SIMBA SC JANA

15/05/2026 07:26:58
Mechi ya Jana kati ya Mashujaa FC na Simba SC iliyopigwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma, imemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi mnono wa 3-0.
 

AZAM FC VS YANGA NJE YA LIGI KUU... NI KISASI BIN KISASI...

29/04/2026 15:14:10
PAMBANO kati ya Azam FC na Yanga halipo tu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara, bali hata kwenye michuano mingine limekuwa likitoa burudani ya hali ya juu.