21/06/2023 17:21:22
Mabosi wa Simba SC wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu hiyo, Salim Abdallah ‘Try Again’ wamefanikiwa kuinasa saini ya Kiungo Mshambuliaji kutoka Niger Victorien Adebayor muda mchache kabla ya kuivaa Taifa Stars juzi Jumapili (Juni 18).