09/05/2023 10:41:12
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Kalbu ya Simba SC, Ahmed Ally amesema kuwa uongozi wa klabu hiyo na idara zote zitafanya tathmini kwa wachezaji wote, benchi la ufundi na watendaji wote wa timu baada ya kukosa taji hata moja msimu mzima.