Football

AL AHLY WAILAINISHIA SIMBA KWA MIQUISSONE...

14/06/2023 17:33:33
Al Ahly imemuweka sokoni wing wake Jose Miquissone akiuzwa dola 250,000 (Sh 590 milion).
 

AFCON - Tanzania v Niger

14/06/2023 17:15:38
Tanzania watakuwa mwenyeji wa Niger katika mechi ya kufuzu michuano ya kombe la mataifa barani Afrika (AFCON) 2023 mnamo Juni 18 mjini Dar es Salaam
 

FEI TOTO ATUMA SALAMU ZA KHERI YANGA...AJIPA LIKIZO YA WIKI ZNZ

09/06/2023 09:40:57
BAADA ya kufanikiwa kukamilisha usajili wa kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, kuwa mali rasmi ya Azam FC, ameahidi kufanya makubwa ndani ya kikosi cha timu yake hiyo mpya kwa msimu ujao wa mashindano.
 

UCL - Manchester City v Inter Milan

09/06/2023 09:11:32
Manchester City watamenyana vikali na Inter Milan kwenye fainali ya kombe la klabu bingwa barani ulaya Ataturk Olympic Stadium mnamo Jumamosi Juni 10.
 

La Liga - Villarreal CF v Atletico Madrid

01/06/2023 17:16:17
Villarreal CF na Atletico Madrid watamenyana vikali katika mechi ya ligi kuu Uhispania Juni 4 ugani Estadio de la Cerámica.
 

Serie A - SSC Napoli v US Sampdoria 

01/06/2023 17:03:15
SSC Napoli watakuwa wenyeji wa UC Sampdoria katika mechi ya ligi ugani Stadio Diego Armando Maradona mnamo Juni 4.
 

FA Cup - Manchester City v Manchester United

31/05/2023 13:12:18
Manchester City watamenyana na Manchester United katika mechi ya fainali ya kombe la FA mnamo Juni 3 Jumamosi ugani Wembley.
 

EPL - Manchester United v Fulham

26/05/2023 13:47:21
Manchester United wanatazamia kuendeleza ubabe wao dhidi ya Fulham watakapokutana kwenye mechi ya ligi ya kumalizia msimu mnamo Jumapili Mei 28.

Robertinho Aachiwa Msala wa Usajili Simba S.C

22/05/2023 16:40:10
Bodi ya Wakurugenzi ya Simba chini ya Mwenyekiti wake, Salim Abdallah (Try Again), imesema imekabidhi majukumu yote ya usukaji kikosi kipya kwa ajili ya msimu ujao kwa Kocha Mkuu, Robertinho Oliveira

EPL - Manchester City v Chelsea

19/05/2023 14:41:58
Manchester City watatawazwa mabingwa wa ligi ya Premier kwa mara ya tatu mfululizo iwapo wataibuka na ushindi dhidi ya Chelsea ugani Etihad Jumapili Mei 21.