Football

UCL - Bayern Munich v Paris Saint Germain

08/03/2023 15:51:54
Bayern Munich watakuwa mwenyeji wa Paris Saint-Germain ugani Allianz Arena Machi 8 kwa ajili ya mechi ya ligi ya klabu bingwa ulaya (UEFA)
 

Burudani Ya Machi

03/03/2023 14:49:01
Burudani Ya Machi

EPL: Liverpool v Manchester United

02/03/2023 15:55:10
Baada ya kushinda taji la kwanza chini ya Erik ten Hag, Manchester United wataelekeza nguvu zao kwenye mechi ya ligi dhidi ya Liverpool ugani Anfield Jumapili Machi 5.
 

La Liga - Real Madrid v Atletico Madrid

24/02/2023 16:56:39
Real Madrid watakutana na watani wao Atletico Madrid kwenye mechi ya ligi kuu Uhispania mnamo Februari 25 ugani Estadio Santiago Bernabéu.
 

EPL - Tottenham Hotspur v Chelsea

24/02/2023 16:51:55
Tottenham wanatarajia kupata ushindi wa nne katika mechi tano za ligi watakapoialika Chelsea ugani Tottenham Hotspur Stadium Jumapili Februari 26.
 

LaLiga - Atletico Madrid v Athletic Bilbao 

15/02/2023 17:29:25
Atletico Madrid itakuwa mwenyeji wa Athletic Bilbao katika mechi ya ligi ugani Estádio Cívitas Metropolitano Februari 19.
 

EPL - Manchester United v Leicester City

15/02/2023 15:18:27
Manchester United wanatazamia kuendeleza azma yao ya kushinda taji la ligi watakapowakaribisha Leicester City ugani Old Trafford Jumapili Februari 19.
 

Februari Burudani

10/02/2023 15:48:57
Jiandae na mwezi wa pira biriani, Februari! Wakati ligi zote kubwa duniani zikipamba moto, na vilabu vikubwa vikichuana kuwania taji.

Serie A - UC Sampdoria v Inter Milan

08/02/2023 13:22:58
UC Sampdoria watakuwa mwenyeji wa Inter Milan katika mechi ya ligi kuu Italia Serie A ugani Stadio Comunale Luigi Ferraris Februari 13.

EPL - Liverpool v Everton

08/02/2023 11:27:21
Everton wana nafasi kubwa ya kupata ushindi dhidi ya Liverpool katika dabi ya 242 ya Merseyside watakapokutana kwenye mechi ya ligi ugani Anfield Jumatatu Februari 13.