Football

MO DEWJI BABA LAO SIMBA.....ATOA BIL 10 ZA USAJILI MSIMU 25/26-26/27... MASHABIKI ROHO KWATUU...

03/12/2025 10:57:24
WAKATI wanachama wa Simba wakisomewa ripoti ya mapato na matumizi, wameonyesha kukoshwa na rais wao wa heshima...
 

ZA NDAAANIII KABISA... HII HAPA SABABU KUBWA YA PANTEV KUPIGWA CHINI SIMBA...

03/12/2025 10:51:38
Simba ilianza kupoteza kwa bao 1-0 katika mechi ya kwanza nyumbani dhidi ya Petro Luanda na mchezo uliofuata juzi Jumapili ikafungwa mabao 2-1 na Stade Malien huko Bamako, Mali.

KUHUSU NANI KUWA BOSI SIMBA... SERIKALI YATAKA MANGUNGU... WANACHAMA KUAMUA...

03/12/2025 10:27:18
Kauli ya Mwana FA, inatokana na agizo serikali kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT), kutoa maelekezo ya Katiba mpya ya Simba inapaswa kumtambua Mwenyekiti wa Klabu kuwa ndiye Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi maana klabu ina umiliki mkubwa (51%)
 

HUU HAPA 'MLIMA WA MIIBA' WA SINGIDA BS CAF MSIMU HUU...WAKIPITA TU WAMETOBOA...

08/11/2025 16:42:23
Singida Black Stars imepangwa katika kundi C lililo na wapinzani wakubwa wenye uzoefu wa michuano ya Afrika, CR Belouizdad (Algeria), Stellenbosch FC (Afrika Kusini) na AS Otoho (Kongo-Brazzaville).

PAMOJA NA KUTINGA MAKUNDI CAF...PANTEV AZUA JIPYA SIMBA..."TIMU HAINA UBUNIFU"

29/10/2025 10:03:41
Akizungumza baada ya mchezo huo, Pantev amesema eneo la kwanza ambalo linakwenda kufanyiwa kazi ni lile la kiungo ambalo bado halizalishi mashambulizi mengi.

 

WAKATI TIMU 4 ZA TZ ZIKINGIA MAKUNDI ...HIZI HAPA REKODI ZAO ZA KIBABE NDANI YA CAF

29/10/2025 09:53:20
Kabla ya hapo, Simba ndio inaongoza kwa kukusanya pointi nyingi CAF ikiwa nazo 48 ikishika nafasi ya tano Afrika, ikifuatiwa na Yanga (34) ambayo ni ya 12 na Namungo (0.5) ya 77. Singida Black Stars na Azam kwa kuingia makundi, zina uhakika wa kukusanya pointi 0.5,
 

WAKATI KIBARUA CHAKE KIKIWA SHAKANI.....FOLZ ABADILI KILA KITU YANGA...MSTAA WAFUNGUKA A-Z

28/10/2025 17:07:05
Yanga iko kwenye presha ya kumuondoa kocha huyo aliyeingoza timu hiyo katika mechi tano za mashindano kisha akashinda nne na sare moja. Hajapoteza.

MMADAGASCA AFICHUA ALIVYOICHOMOLEA SIMBA ATUE YANGA...ATAJA WACHEZAJI WAPYA

09/10/2025 16:17:16
Kitendo cha Rôrô kuhakikishiwa na Yanga anaweza kuja na wasaidizi wake wa benchi la ufundi, moja kwa moja akashawishika kusaini tofauti na Simba iliyoweka masharti ya kocha ajaye asiwe na wasaidizi wengi.

KUHUSU SOKA 'MAKANDE' LA FOLZ...TAMKO LA MABOSI YANGA HILI HAPA

25/09/2025 16:03:59
YANGA inaendelea kutoa vipigo lakini kuna baadhi ya watu kama hawaridhiki hivi, sasa uongozi umeibuka na kutoa msimamo mzito juu ya kocha wao Romain Folz.
 

KISA NAMBA YA KUCHEZA... 'TSHABALALA' KASHALIANZISHA KWA BOKA HUKO YANGA...ISHU YAKE HII HAPA

25/09/2025 15:58:57
BEKI mpya wa Yanga, Mohamed Hussein 'Tshabalala', amefunguka kuwa ni kweli kuna ushindani mkali wa namba kati yake na