Football

TAIFA STARS YAPANDA VIWANGO VYA CAF YAIPIKU TUNISIA...

30/03/2026 08:24:52
Tanzania imepanda kwa nafasi moja katika chati ya viwango vya ubora vya nchi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kulingana na mafanikio ya klabu.
 

USAJILI WA YANGA WAZUA MJADALA..., SIMBA WAONEKANA KUZIDI HATUA

27/03/2026 15:44:39
MSEMAJI wa Yanga, Ali Kamwe, ameibuka na kutoa kauli nzito akimtaka Rais wa klabu hiyo, Hersi Said, kurejea moja kwa moja kwenye majukumu...

YANGA WAPANGA VITA YA MZUNGUKO WA PILI KIMKAKATI

27/03/2026 15:37:50
UONGOZI wa klabu ya Yanga umeweka wazi  kuamua kumbakiza Kocha Mkuu, Pedro Gonçalves, ni hatua ya kimkakati iliyolenga kulinda uthabiti wa timu...
 

UAMUZI WA KIUFUNDI WAMBAKISHA MPANZU SIMBA KWA MIAKA 2 ZAIDI...

25/03/2026 08:29:30
UONGOZI wa klabu ya Simba umeweka wazi kuwa uamuzi wa kumuongezea mkataba kiungo Elie Mpanzu umetokana na tathmini ya kina ya benchi la ufundi

DIARRA AWEKA REKODI, AMUACHA MBALI KIPA WA SIMBA

25/03/2026 08:23:06
KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra, ameendelea kuthibitisha ubora wake msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kuongoza orodha ya makipa wenye...
 

BARKER AWAFUNGIA KAZI WACHEZAJI SIMBA, AONGEZA PRESHA KWA YANGA

25/03/2026 08:01:18
LICHA ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya TRA United, Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker, ameibua hali ya taharuki ndani ya kikosi chake baada ya kuweka wazi kuwa...
 

WAKATI RUSHINE, KAGOMA WAKIONGEZA MKATABA… PANGA LA SIMBA KUPITA NA MASTAA HAWA….

18/03/2026 09:06:00
Kwa upande wa Rushine, Simba imefanya uamuzi wa kumuongezea mkataba baada ya kwanza kujiridhisha kwamba beki huyo hana majeraha ya mara kwa mara.
 

EHEE… KUMBE SIO UWANJANI PEKEE… SIMBA NA YANGA MPAKA HUKU AISEEE…

18/03/2026 09:01:07
Simba na Yanga haziwezi kuachana kushindana na kutaniana, na huo ndio utani wa jadi wenyewe, mmoja anapofanya vizuri lazima atamtambia asifanya vizuri,...

KUELEKEA DABI YA KARIAKOO… YANGA MAPEMAAAA TU… SHILINGI IKO JANGWANI KITAMBO…

02/03/2026 09:51:12
KIPUTE cha watani wa jadi kati ya Yanga na Simba kinatarajiwa kupigwa Jumapili, Machi 01, 2026, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kuanzia saa 2:15 usiku.

16 BORA ULAYA NI ‘UBAYA UBWELA’ MWANZO MWISHO… CITY vs MADRID, ARSENAL MCHEKEA…

02/03/2026 09:45:29
Kwa jumla, ndani ya mechi 15 za karibuni, Manchester City wameshinda mara tano, sare nne na kupoteza mara sita dhidi ya Real Madrid. Cha kuvutia zaidi ni kwamba.