BETWAY Tanzania Home
Local
International
Home
Soka
Ligi Kuu
Njia ya
Michezo Mingine
CSR
Winners
Football
KUELEKEA DABI… SIMBA, YANGA JEURI YOOTEE IKO HAPA AISEE… AKIBANWA MTU KWISHAAA…
02/03/2026 09:38:34
Mara ya mwisho Simba kuifunga Yanga ilikuwa katika Ngao ya Jamii iliyochezwa Agosti 13, 2023 kwa penalti 3-1, baada ya hapo, Yanga imetembeza vipigo vinne katika Ligi na viwili Ngao ya Jamii.
NWINCHUI KATIKATI YA DERBY KARIAKOO...
02/03/2026 09:27:01
KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, waamuzi watakaosimamia Kariakoo Derby kati ya Yanga SC na Simba SC wametangazwa rasmi, huku..
SINTOFAHAMU YANAENDELEA, SOWAH NJE DERBY
02/03/2026 09:20:19
Kwa mujibu wa Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, kwa sasa nyota huyo hayupo kwenye mipango ya timu, na hatma yake ya kusafiri na kikosi kuelekea Zanzibar bado haijafahamika.
KUELEKEA KARIAKOO DERBY... YANGA YAIWEKEA SIMBA MTEGO.
02/03/2026 09:08:04
Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, amebainisha kuwa wachezaji wake muhimu, Pacome Zouzoua na Prince Dube, bado wanapata majeraha madogo.
BARKER AWEKA MKAKATI KABAMBE DHIDI YA YANGA
27/02/2026 11:30:48
KOCHA Mkuu wa Simba, Steve Barker, amesisitiza kwamba kikosi chake kitaingia kwenye Kariakoo Derby dhidi ya watani wao wa jadi, Yanga FC, huku Kariakoo Derby dhidi ya Yanga SC
UZOEFU HATUA YA MAKUNDI CAF KULETA MABORESHO YANGA
19/02/2026 07:45:46
KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Pedro Goncalves, amesema uzoefu walioupata katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakuwa chachu ya maboresho...
BARKER AFICHUA MBINU SIMBA KUKABILIANA NA RATIBA...
19/02/2026 07:41:23
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amesema kikosi chake kitapokea mabadiliko ya kila wakati kutokana na changamoto za ratiba nzito za mechi zinazofuata za Ligi Kuu...
SIMBA YATUMBUA SURA MPYA... WADHAMINI WASHIKILIA HISA...
19/02/2026 07:33:33
Msajili wa Vyama vya Michezo, Abel Ngilangwa, ametangaza kuidhinishwa kwa marekebisho ya Katiba ya Simba SC, hatua inayohitimisha mchakato wa muda mrefu wa mageuzi...
KUELEKEA MECHI NA WAARABU… BEKI ESPERANCE ATAJA MASTAA WA KUCHUNGWA
29/01/2026 08:48:16
Simba ina wakati mgumu katika kundi D la michuano hiyo kwani katika mechi tatu, haina pointi ikiburuza mkia, huku Stade Malien ikiongoza na pointi saba.
KUELEKEA MECHI vs AL AHLY… KOCHA YANGA ATOA KAULI YA KISHUJAA
29/01/2026 08:43:22
Yanga ilipoteza mechi Ligi ya Mabingwa Afrika Ijumaa iliyopita dhidi ya wapinzani wao hao kwa kuchapwa mabao 2-0 mechi iliyopigwa uwanja wa The Borg El Arab katika mji wa Alexandria.
|<
<
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
...
>
>|