BETWAY Tanzania Home
Local
International
Home
Soka
Ligi Kuu
Njia ya
Michezo Mingine
CSR
Winners
Football
ALICHOSEMA CHIKOLA BAADA YA KUWEKWA KANDO YANGA SC...
28/01/2026 14:11:31
Chikola aliyejiunga na Yanga mwanzoni mwa msimu huu akitokea Tabora United ambayo kwa sasa inafahamika kwa jina la TRA United, ametolewa kwa mkopo wa miezi.
USAJILI WA SIMBA WAMKOSHA MAYELE
22/01/2026 10:22:56
STRAIKA wa Pyramids ya Misri na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Mayele, ameonyesha wazi furaha yake baada ya Clatous Chama, kurejea katika klabu ya Simba.
TANZANIA YAPANDA NAFASI MBILI UBORA FIFA
22/01/2026 10:19:42
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’imepanda kwa nafasi mbili katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kwa mujibu wa chati ya mwezi Januari 2026
KISA AHOUA KUPIGWA BEI SIMBA... KOCHA YANGA AVUNJA UKIMYA... ATAJA KISA...
22/01/2026 09:54:56
TAARIFA za Simba kumuuza kiungo Jean Charles Ahoua, kwa namna moja zimeonekana kumshtua kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia.
ZA NDAANI KABISAA... HAYA HAPA MAMBO 2 'KUNTU' YALIYOMRUDISHA CHAMA SIMBA...
22/01/2026 09:45:20
Uamuzi wa Simba kumrudisha Chama ni baada ya kufanya biashara ya kumuuza Jean Charles Ahoua ambaye alisajiliwa na Simba msimu uliopita 2024-2025.
AFCON - Tanzania v Tunisia
30/12/2025 15:07:54
Tanzania will be looking to hand Tunisia another defeat in their third 2025 Africa Cup of Nations (AFCON) Group C match at the Rabat Olympic Stadium on 30 December.
KUELEKEA DIRISHA DOGO... USAJILI MPYA WA YANGA HUU HAPA...
18/12/2025 12:53:24
Habari kutoka ndani ya Yanga zinasema kocha huyo raia wa Ureno anahitaji kiungo mkabaji, kiungo mshambuliaji na winga mmoja.
KISA RUSHINE... SIMBA WALIAMSHA KWA MAMELOD...
18/12/2025 12:49:10
KLABU ya Simba imepiga hodi Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ikisema inahitaji kumsajili moja kwa moja beki wa kati anayeichezea timu hiyo kwa mkopo.
HIZI HAPA REKODI 5 KALI ZA YANGA BAADA YA LIGI KUU KUSIMAMA... SIMBA MHHH...
18/12/2025 12:45:44
Yanga inaongoza kwa kufunga mabao mengi mpaka sasa, kushinda michezo mingi mfululizo, ndio timu pekee imepata penalti nyingi, imeshinda mechi nyingi nyumbani.
KWA MASTAA HAWA 4 SIMBA... PANTEV ULIKUWA UMWAMBII KITU AISEE... AFUNGUKA A-Z...
18/12/2025 12:41:40
KOCHA Dimitar Pantev aliyekuwa akitambulishwa kama meneja mkuu wa Simba amehitimisha siku 61 na huwezi kuamini
|<
<
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
...
>
>|