Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

KISA NAMBA YA KUCHEZA... 'TSHABALALA' KASHALIANZISHA KWA BOKA HUKO YANGA...ISHU YAKE HII HAPA

25/09/2025 15:58:57
BEKI mpya wa Yanga, Mohamed Hussein 'Tshabalala', amefunguka kuwa ni kweli kuna ushindani mkali wa namba kati yake na

SIMBA WALIVYOTAMATISHA TAMASHA LAO KIBABE JANA...VIFAA VIPYA MHHHHH

11/09/2025 15:54:32
Mchezo huo uliofanyika jana Septemba 10, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0, huku ikilipa kisasi mbele ya Gor Mahia.

PAMOJA NA OFA YA BIL 2 MEZANI...HIZI HAPA SABABU ZA NDAANI KABISA MZIZE KUBAKI YANGA

31/08/2025 15:48:21
KELELE na tetesi nyingi zilizokuwa zikimuhusisha mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize kutakiwa na timu mbalimbali za ndani na nje ya Afrika, zimezimwa rasmi na klabu hiyo baada ya kutangaza itaendelea kuwa naye, huku sababu ya uongozi kufanya uamuzi huo ukibainika.

PAMOJA NA KUSAJILIWA KWA DAU NONO...SIMBA WAMPA MASHARTI HAYA MAZITO BAJABER

05/08/2025 15:44:21
Chanzo kutoka Simba, kimesema kwamba, ndani ya mkataba huo wa miaka miwili aliopewa Mkenya huyo, kuna kipengele cha bonasi endapo atafikia malengo aliyowekewa.
 

CHAN 2024: HIVI NDIVYO TANZANIA ILIVYOZIPIGA BAO KENYA, UGANDA...KAZI IKO HAPA

05/08/2025 15:31:07
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeandika ukurasa mpya kwa ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kuanza kwa kishindo

WAKATI YANGA WAKIFANYA FUJO...MO DEWJI KUSAJILI KILA STAA MPYA SIMBA KWA MIL 560...FADLU MENO NNJE

29/07/2025 19:33:18
Msimu uliopita Simba ilijinadi inajenga timu na kufanya maajabu ya kumaliza ya pili Ligi Kuu na kufika fainali ya CAF, lakini baada ya kumalizika kwa msimu tayari imeshawapa