Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo

Barca na Sociedad kukabana koo

17/08/2022 14:18:12
Barcelona watakuwa wageni wa Real Sociedad ugani Reale Arena kwenye mechi ya ligi mnamo Agosti 21, Jumapili.
 

Macho yote kuangazia mbio za pikipiki za 2022 Austrian MotoGP

17/08/2022 14:05:16
Mbio za pikipiki za Austrian Grand Prix 2022 ambazo pia zinajulikana kama Motorrad Grand Prix von Österreich zitang’oa nanga Agosti 21 kule Spielberg.
 

Inter yapania kuiadhibu Spezia

17/08/2022 13:44:26
Inter Milan itakuwa mwenyeji wa Spezia Calciao katika mechi ya Serie A ugani Stadio Giuseppe Meazza Agosti 20.
 

Macho yote kuangaziwa taji la gofu la The Northern Trophy 2022

12/08/2022 11:41:39
Shindano la gofu la The 2022 Northern Trust linatarajiwa kung’oa nanga TPC Southwind, Memphis, Tennessee, Marekani kati ya tarehe 11 na 14 Agosti. 
 

Milan kuanza ligi dhidi ya Udinese

11/08/2022 16:47:02
AC Milan itamwalika Udinese Calcio ugani Stadio Giuseppe Meazza kwenye mechi ya ligi kuu ya Italia mnamo Agosti 13.
 

Debi ya London kufanyika Jumapili hii

11/08/2022 16:39:30
Tottenham watakuwa mgeni wa Chelsea ugani Stamford Bridge Jumapili ya Agosti 14 katika mechi ya ligi kuu Uingereza.