Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo

Reds na Spurs kung’ang’ania alama muhimu

06/05/2022 14:04:00
Liverpool wanapania kuwashinikiza Manchester City watakapoalika Tottenham ugani Anfiled kwenye mechi ya ligi mnamo Mei 7.
 

Atletico na Real kwenye debi ya El Derbi Madrileno

06/05/2022 13:54:16
Atletico Madrid watawaalika mahasidi wao wa jadi Real Madrid ugani Estadio Wanda Metropolitano katika mechi ya ligi mnamo Mei 8.
 

Madrid revanchard contre Man City

03/05/2022 16:28:16
Real Madrid watakuwa mwenyeji wa Manchester City katika mechi ya UEFA mkondo wa pili hawamu ya nusu fainali mnamo Mei 4.
 

Quartararo anatarajia mafanikio zaidi Spanish GP

29/04/2022 15:36:01
Bingwa mtetetezi wa mbio za pikipiki, MotoGP duniani Fabio Quartararo anatazamia kushinda mbio za Spanish Grand Prix Jumapili Mei 1. 

Finau apania kushinda taji la Mexico Open

26/04/2022 18:57:43
Tony Finau atapania kushinda taji la mashindano ya gofu ya 2022 ya Mexico Open ili kuimarisha nafasi yake kwenye jedwali rasmi la dunia la gofu. 

Madrid wapania kisasi dhidi ya Espanyol

26/04/2022 18:48:35
Real Madrid wataialika RCD Espanyol katika mechi ya ligi ugani Estadio Santiago Bernabéu Aprili 30.