Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo
23/02/2022 16:19:09
Empoli FC watakuwa mwenyeji wa Juventus FC katika mechi ya ligi ugani Stadio Carlo Castellani tarehe 26 Februari.
23/02/2022 16:12:07
Everton watakuwa mwenyeji wa Manchester City katika mechi ya ligi ugani Goodison Park Jumamosi Februari 26, huku City wakipania kujizoa baada ya kupoteza mechi dhidi ya Tottenham Hotspurs.
23/02/2022 15:59:10
Rayo Vallecano watakuwa mwenyeji wa Real Madrid katika mechi ya ligi ugani Estadio Wanda Metropolitano mnamo Februari 26.
21/02/2022 14:25:25
Atletico Madrid watakuwa mwenyeji wa Manchester United katika mechi ya mkondo wa kwanza wa mechi za UEFA raundi ya kumi na sita Februari 23.
16/02/2022 16:15:11
Bubba Watson anatazamia kuweka historia atakaposhiriki shindano la golfu la mwaka huu la Genesis Open, Riviera Country Open.
16/02/2022 15:05:00
The Los Angeles Clippers watamenyana vikali na Houston Rockets katika mechi ya NBA kwenye ukumbi wa Crypto.com Arena, Los Angeles jimbo la California nchini Marekani Ijumaa ya tarehe 18 Februari 2022. Mchezo unatazamiwa kuanza saa kumi na moja na nusu majira ya Afrika ya kati.