Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo
06/04/2023 17:41:53
Arsenal wanatarajia kupiga jeki azma ya kushinda taji la Premier tangu msimu 2003-04 watakapocheza na Liverpool ugani Anfield Jumapili Aprili 9.
31/03/2023 13:11:47
Real Madrid na Real Valladolid watamenyana vikali kwenye mechi ya ligi kuu Uhispania ugani Estadio Santiago Bernabéu Aprili 2 wakiwa na lengo la kutetea taji hilo.
29/03/2023 17:21:56
Manchester City inatarajia kupiga jeki azma yake ya kutwaa ubingwa wa ligi ya Premier watakapoalika Liverpool ugani Etihad Stadium Jumamosi Aprili mosi.
24/03/2023 13:14:03
Los Angeles Lakers itakabiliana na Oklahoma City Thunder kwenye mechi ya ligi ya mpira wa kikapu, National Basketball Association (NBA) mnamo Machi 25.
17/03/2023 09:08:59
Los Angeles Lakers watapambana na Dallas Mavericks katika mechi ya ligi ya mpira wa kikapu, National Basketball Association (NBA) mamno Machi 18.
17/03/2023 08:53:36
Chelsea watakuwa wenyeji wa Everton ugani Stamford Bridge Jumamosi Machi 18 katika mechi ya ligi huku wakifukuzia ushindi wa tatu mfululizo kwenye shindano hilo.