Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo

Juventus kukabiliana na Roma katika mechi wa Serie A

26/08/2022 11:38:01
Juventus FC watakuwa mwenyeji wa AS Roma kwenye mechi ya ligi ya Serie A ugani Allianz Stadium mnamo Agosti 27.
 

Valladolid kwenye mtihani mgumu dhidi ya Barca

25/08/2022 11:22:10
Barcelona watakaribisha timu ya Real Valladolid Camp Nou kwa ajili ya mechi ya ligi Agosti 28 Jumapili huku wakiendelea kuwafukuzia wanaoongoza ligi.
 

Blues wapania kuongeza masaibu zaidi kwa Foxes

25/08/2022 11:17:42
Chelsea wananuia kupata ushindi kwenye mechi ya ligi dhidi ya Leicester watakapokabiliana ugani Stamford Bridge Jumamosi Agosti 27.
 

Macho yote kuangazia mbio za Belgian Grand Prix 2022

25/08/2022 11:12:35
Mbio za langalanga za Belgian Grand Prix 2022 zinatarajiwa kufanyika Stavlot, ambao ni mji uliopo mkoa wa Liège, nchini Belgium Agosti 28.
 

Chomoka na Odds na Betway

22/08/2022 09:57:51
Utajisikiaje ukipokea ujumbe kuwa umeshinda Free Bet au pesa taslimu au uamke na TV, home theatre jiko na mashine ya kufulia vyote vipya kwa kutabiri matokeo ya mechi tu.
 

Shindano la BMW Championship 2022 kung’oa nanga.

17/08/2022 17:34:58
Shindano la gofu la BMW Championship mwaka 2022 linatarajiwa kung’oa nanga Wilmington Country Club, Delaware, Marekani kati ya tarehe 18 na 21 Agosti