Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo

Ureno na lengo la Kuongoza kundi A tena

10/11/2021 14:26:08
Ureno itakuwa na lengo la kuongoza kundi A mara tena watakapochuana na Jamhuri ya Ireland katika mechi ya kufuzu kombe la dunia mwaka 2022 Alhamisi hii. 

Hamilton anawania taji la tatu la Brazilian Grand Prix

10/11/2021 14:11:20
Dereva wa Mercedes Lewis Hamilton anapania kushinda taji la tatu la mbio za langalanga za Brazil kwa mara ya tatu sasa Novemba 14. 

Mashindano ya gofu ya Houston Open 2021 kung’oa nanga.

10/11/2021 13:36:18
Mashindano ya gofu ya Houston Open mwaka 2021 yanatarajiwa kuchezwa kati ya Novemba 11 na 14 kule Harris katika jimbo la Texas nchini marekani. 
 

Tanzania kukabiliana na DR Congo

09/11/2021 16:01:00
Tanzania itamenyana na jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo katika mtanange wa kufuzu kombe la dunia mwaka 2022 wa kundi J Novemba 11.

Wachezaji 10 wakutazama chini ya miaka 25 kwenye Ligi ya Mabingwa

05/11/2021 14:14:18
Ligi ya Mabingwa imerejea kwa mechi kali hatua ya makundi. Huku timu 32 kutoka ligi bora zaidi barani Ulaya zikiwania taji za Ligi ya Mabingwa, moja ya msimu bora zaidi.
 

Team ya Heat na Celtics kufufua uhasama

04/11/2021 16:36:11
Timu ya Miami Heat na Boston Celtics zitakabana koo katika mechi ya ligi ya NBA Ijumaa hii asubuhi Novemba 5 2021 katika uwanja wa FTX Arena Miami Florida. Mechi hiyo itarajiwa kuanza saa 7:30 asubuhi majira ya Afrika ya kati