Football

SIMBA WANATAKA KUSAJILI KIPA MPYA? UKWELI WOTE HUU HAPA...

24/06/2026 14:13:26
Simba ukiiangalia kwa haraka unaweza kusema haina uhitaji wa kipa mpya kwani wana Kassali anayecheza sasa na Moussa Camara ambaye naye...

SIMBA YAJENGA KIKOSI KIPYA, BAADHI YA NYOTA HAWA HATARINI

23/06/2026 14:34:35
UONGOZI wa Simba SC unatarajiwa kufanya mabadiliko zaidi ndani ya kikosi chake kuelekea msimu wa 2026/27, ikiwa ni sehemu ya mkakati.

VITA HAIJAISHA BADO... IBENGE AUTAKA TENA 'URODA' WA YANGA...

23/06/2026 14:18:49
Azam FC ilifanikiwa kutinga fainali ya michuano hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Yanga katika mchezo wa kusisimua uliochezwa.

NI BARKER vs IBENGE FAINALI YA FA...

23/06/2026 13:49:35
Barker ameiongoza Simba SC kwa mafanikio makubwa msimu huu, akionyesha uimara wa kikosi chake katika mashindano mbalimbali...

SIMBA YAMLIPA SH.120M KWA MSIMU, ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI.

12/06/2026 15:03:58
KIUNGO Bakari Msimu ameamua kujiunga na Simba kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kushawishiwa na ofa nono inayodaiwa kufikia Sh milioni 120.

SIMBA YAVUNJA UKIMYA KUHUSU FEI TOTO..., YATOA KAULI NZITO

12/06/2026 14:47:07
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema klabu hiyo ingependa kuwa na kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’.

 

HAWA YANGA KWA FADLU WAKO SIRIAZI KWELI?

28/05/2026 12:06:23
YANGA inaendelea na msako wa kutafuta kocha mpya na sasa kuna majina mengine mawili yanatajwa akiwemo kocha wa zamani wa Simba ambaye aliibadilisha.

ZIMBWE JR AFICHUA SIRI YA YANGA KUTIKISA LIGI

28/05/2026 11:31:22
BEKI wa Yanga SC, Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’, amesema kikosi hicho kina kila sababu ya kuwa na matumaini makubwa ya kutetea ubingwa wa.

 

SIMBA LENGO KUBEBA MATAJI, SI KUJALI MAJINA YA WAPINZANI

27/05/2026 07:36:31
MWENYEKITI wa Simba SC, Murtaza Mangungu, ameweka wazi msimamo wa klabu hiyo kuelekea msimu huu, akisisitiza kuwa malengo yao makubwa bado ni yale yale.
 

TIKETI YA TSH5 BILIONI KOMBE LA DUNIA, MHUDUMU INFANTINO

25/05/2026 11:52:30
Fainali ya Kombe la Dunia itakayochezwa katika uwanja wa MetLife huko New Jersey ndiyo yenye tiketi ghali zaidi. Tiketi ya bei ya chini kabisa imevuka dola 8,000.