Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
18/12/2025 12:53:24
Habari kutoka ndani ya Yanga zinasema kocha huyo raia wa Ureno anahitaji kiungo mkabaji, kiungo mshambuliaji na winga mmoja.
18/12/2025 12:49:10
KLABU ya Simba imepiga hodi Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ikisema inahitaji kumsajili moja kwa moja beki wa kati anayeichezea timu hiyo kwa mkopo.
18/12/2025 12:45:44
Yanga inaongoza kwa kufunga mabao mengi mpaka sasa, kushinda michezo mingi mfululizo, ndio timu pekee imepata penalti nyingi, imeshinda mechi nyingi nyumbani.
18/12/2025 12:41:40
KOCHA Dimitar Pantev aliyekuwa akitambulishwa kama meneja mkuu wa Simba amehitimisha siku 61 na huwezi kuamini
08/12/2025 09:32:03
Droo hiyo iliyofanyika katika Studio za SuperSport jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini ikiongozwa na Mkuu wa Idara ya Mashindano ya CAF, Khaled Nassar, akisaidiwa na wanasoka wa zamani Christopher Katongo kutoka Zambia na Alexander Song wa Cameroon,
07/12/2025 13:43:42
Kuteuliwa kwake kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Klabu Barani Afrika ni uthibitisho zaidi wa ubora alionao. Nyota huyu yupo na Al Ahly katika Kundi B ambalo pia kuna Yanga.