Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo
12/01/2024 15:23:20
kocha Benchikha amesema haukuwa mchezo rahisi kwao kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya JKU FC, ni mwanzo mzuri kupata ushindi muhimu kwao walihitaji kuanza
12/01/2024 15:01:13
Ofisa habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema baada ya kufanikiwa kumtambulisha Okrah, kazi bado inaendelea na wanaleta mtu hatari eneo la mshambuliaji ambaye anakuja
12/01/2024 14:38:05
Tottenham watakabiliana na Manchester United katika mechi ya ligi ugani Old Trafford mnamo Januari 14 siku ya Jumapili.
29/12/2023 17:17:09
Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Simba SC Salim Abdallah ‘Try Again’ ameweka wazi kuwa watahakikisha kuwa
29/12/2023 17:13:37
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema amepata mwanga na matarajio yake kuona mabadiliko makubwa
20/12/2023 16:06:43
ACHANA na ubora wa kipa wa Simba, Ayoub Lakred aliouonyesha jana habari ya mjini ni mbinu za kijeshi za kocha wa timu hiyo Belhack...