Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo

Pelicans kuwa mwenyeji wa Lakers NBA

03/02/2023 18:07:36
New Orleans Pelicans watakabana koo na Los Angeles Lakers katika mechi ya ligi ya mpira wa kikapu NBA Februari 5.

City na Spurs kutibua vumbi, mechi ya ligi

01/02/2023 10:35:32
Manchester City wanatazamia kuendeleza shinikizo kwa viongozi wa ligi Arsenal watakapo safari kucheza na Tottenham Jumapili Februari 5.

Barcelona na Sevilla kumenyana kwenye mechi ya La liga

01/02/2023 10:23:45
FC Barcelona wataalika Sevilla FC ugani Spotify Camp Nou kwa ajili ya mechi ya ligi mnamo Februari 5.
 

Gunners kukabiliana na City, FA

26/01/2023 09:48:34
Arsenal wanatarajia kuendeleza msururu wa matokeo mazuri watakapokabiliana na Manchester City kwenye kombe la FA raundi ya nne ugani Etihad Stadium Ijumaa Januari 27.

Scheffler atazamia taji la kwanza la Farmers Insurance Open.

25/01/2023 17:34:09
Scottie Scheffler anapigiwa upatu kushinda shindano la gofu la Farmers Insurance Open litakaloandaliwa Torrey Pines Golf Course.

Napoli na Roma kukabiliana kwenye dabi del Sole

25/01/2023 17:15:06
SSC Napoli itakuwa mwenyeji wa AS Roma kwenye mechi ya ligi kuu Italia ugani Stadio Diego Armando Maradona Januari 29.