Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo
11/07/2022 09:49:54
Manchester United na Liverpool FC watamenyana kwenye mechi kubwa ya kirafiki ya kujiandaa kwa msimu ujao, katika uga wa kitaifa wa Rajamangala Julai 12.
06/07/2022 11:25:56
Shindano la gofu la Genesis Scottish Open mwaka 2022 linatarajiwa kung’oa nanga Renaissance Club North Berwick nchini Scotland kati ya tarehe 7 na 10 Julai.
06/07/2022 11:19:19
Lewis Hamilton ana matumaini ya kushinda mbio za Austrian Grand Prix kwa mara ya pili kama dereva wa langa langa.
01/07/2022 10:47:12
Jason Day anapania kufuata nyayo za wachezaji kutoka taifa lake John Senden na Mark Hensby kwa kushinda shindano la gofu la John Deere Classic 2022.
30/06/2022 11:57:26
Dereva wa Red Bull Racing Max Verstappen anapania kupata ushindi wa kwanza kabisa kwenye mbio za langa langa za British Grand Prix na kuendeleza msururu wa matokeo mazuri ya msimu 2022.
28/06/2022 17:19:38
Mchezaji nambari nne duniani katika mchezo wa tenisi Rafael Nadal anatarajia kupata taji lake la tatu kubwa (Grand Slam) mwaka huu atakaposhiriki shindano la wimbledon litakaloanza mnamo Juni 27.