Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
27/09/2021 16:11:02
Paris Saint Germain (PSG) itapambana na Manchester City mechi ya kundi A, Ligi ya klabu Bingwa Ulaya mnamo Septemba 28.
24/09/2021 12:19:06
Real Madrid watacheza dhdi ya Villarreal CF ligi kuu ya Uhispania- La Liga katika uwanja wa Estadio Santiago Bernabéu Septemba 25.
24/09/2021 11:58:54
Max Verstappen anatazamia kupata matokeo yasiyotarajiwa na atakaposhiriki mkondo wa 15 wa mashindano ya mbio za magari ya Formula 1 Ubingwa wa Dunia 2021, the Russian Grand Prix, katika mzunguko wa Sochi Autodrom Jumapili 26 Septemba.
24/09/2021 11:30:53
AC Milan watakuwa wanalenga kuendeleza mwanzo mzuri ambao wamekuwa nao msimu huu wa 2021/22 Ligi kuu ya Italia Serie A watakapocheza dhdi ya Spezia Jumamosi alasiri.
23/09/2021 09:47:15
Bondoa Anthony Joshua anatazamia kutwaa ushindi kwa heshima ya kocha wake Rob McCracken atakapopigana na Oleksandr Usyk kutetea mataji yake ya ubingwa wa dunia wa WBA (Super), IBF, WBO na IBO Heavyweight Jumamosi tarehe 25 Septemba 2021 katika uwanja wa Tottenham Hotspur Stadium mjini London.
23/09/2021 09:24:47
Chelsea inawakaribisha Manchester City mechi ya Ligi kuu ya England katika Stamford Bridge tarehe 25 Septemba.