Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
22/01/2026 10:22:56
STRAIKA wa Pyramids ya Misri na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Mayele, ameonyesha wazi furaha yake baada ya Clatous Chama, kurejea katika klabu ya Simba.
22/01/2026 10:19:42
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’imepanda kwa nafasi mbili katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kwa mujibu wa chati ya mwezi Januari 2026
22/01/2026 09:54:56
TAARIFA za Simba kumuuza kiungo Jean Charles Ahoua, kwa namna moja zimeonekana kumshtua kocha wa zamani wa Yanga, Nasreddine Nabi raia wa Tunisia.
22/01/2026 09:45:20
Uamuzi wa Simba kumrudisha Chama ni baada ya kufanya biashara ya kumuuza Jean Charles Ahoua ambaye alisajiliwa na Simba msimu uliopita 2024-2025.
30/12/2025 15:07:54
Tanzania will be looking to hand Tunisia another defeat in their third 2025 Africa Cup of Nations (AFCON) Group C match at the Rabat Olympic Stadium on 30 December.
18/12/2025 12:53:24
Habari kutoka ndani ya Yanga zinasema kocha huyo raia wa Ureno anahitaji kiungo mkabaji, kiungo mshambuliaji na winga mmoja.