Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
04/07/2025 15:15:18
Kamwe ametaja baadhi ya nyota ambao wanafanyiwa kazi ili wabakie kuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kuwa ni pamoja na kiungo mkabaji Khalid Aucho, mshambuliaji hatari Pacome
04/07/2025 15:08:10
Fei Toto amesema kwa sasa bado ni mchezaji halali wa Azam FC, akiwa na mkataba wa mwaka mmoja zaidi, hana mamlaka ya kuzungumzia mipango ya klabu nyingine
04/07/2025 15:02:03
FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba SC amesema kuwa kwa msimu wa 2024/25 wamejitahidi kupambana na kufikia malengo
25/06/2025 14:56:34
KLABU ya Yanga imejihakikishia ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2024-2025, ikiwa ni mara ya nne mfululizo, baada ya kuibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Simba
23/06/2025 15:56:02
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeitangaza Tanzania kama nchi itakayoandaa mechi na tukio la ufunguzi wa fainali za CHAN 2024 zitakaofanyika kuanzia Agosti 2 hadi Agosti 30
23/06/2025 14:06:55
Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba SC 1-0 Kagera Sugar. Bao hilo alipachika dakika ya 17 akiwa ndani ya 18. Mukwala alituma pasi ya David Kameta ambaye alipokea pasi