Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
11/09/2025 15:54:32
Mchezo huo uliofanyika jana Septemba 10, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, Simba imeibuka na ushindi wa mabao 2-0, huku ikilipa kisasi mbele ya Gor Mahia.
31/08/2025 15:48:21
KELELE na tetesi nyingi zilizokuwa zikimuhusisha mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize kutakiwa na timu mbalimbali za ndani na nje ya Afrika, zimezimwa rasmi na klabu hiyo baada ya kutangaza itaendelea kuwa naye, huku sababu ya uongozi kufanya uamuzi huo ukibainika.
05/08/2025 15:44:21
Chanzo kutoka Simba, kimesema kwamba, ndani ya mkataba huo wa miaka miwili aliopewa Mkenya huyo, kuna kipengele cha bonasi endapo atafikia malengo aliyowekewa.
05/08/2025 15:31:07
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeandika ukurasa mpya kwa ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kuanza kwa kishindo
29/07/2025 19:33:18
Msimu uliopita Simba ilijinadi inajenga timu na kufanya maajabu ya kumaliza ya pili Ligi Kuu na kufika fainali ya CAF, lakini baada ya kumalizika kwa msimu tayari imeshawapa
29/07/2025 14:22:44
Chanzo hicho kimesema kwamba, mchezaji huyo ambaye pia anaichezea timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, ameshafikia makubaliano binafsi ya klabu ya Simba, ambapo kinachosubiriwa ni