Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
25/05/2026 11:52:30
Fainali ya Kombe la Dunia itakayochezwa katika uwanja wa MetLife huko New Jersey ndiyo yenye tiketi ghali zaidi. Tiketi ya bei ya chini kabisa imevuka dola 8,000.
25/05/2026 11:45:41
KIUNGO mshambuliaji wa Allan Okello amefunguka kuhusu mjadala unaoendelea miongoni mwa mashabiki wa soka wa Tanzania wa kumlinganisha na nyota wa Clatous.
25/05/2026 10:00:02
KOCHA wa timu ya taifa ya Ujerumani, Julian Nagelsmann ametangaza rasmi kikosi chake cha mwisho cha wachezaji 26 kitakachoiwakilisha nchi hiyo.
25/05/2026 09:55:04
WAKATI maswali yakiendelea kuwa mengi kuhusu hatma ya kiungo Mohamed Bajaber, Kocha Mkuu wa Simba, Steve Barker amesema kwenye hesabu zake.
15/05/2026 07:51:32
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello na Clatous Chama wa Simba, wameanzisha ligi yao kufuatia kila mmoja kufunga katika michezo mitatu mfululizo ya Ligi Kuu Bara.
15/05/2026 07:45:28
RAIS wa Yanga injinia Hersi Said amesema mradi wa ujenzi wa uwanja mpya wa klabu hiyo, utawafanya kumiliki asilimia 50 huku mwekezaji akimiliki 50.