Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
24/03/2025 15:38:35
MASHABIKI wa Simba wanachekelea hatua ya mchezo dhidi ya Yanga kuahirishwa, wanawatambia wenzao wa Yanga, kwamba mechi itapangwa, mtapigiwa simu moja tu kutoka juu na mtacheza, lakini wasichojua ni kwamba Wananchi hawatanii na wamejipanga kwa vita mpya, wakikubali kutumia Sh121 milioni kuitafuta haki FIFA.
24/03/2025 15:34:19
Simba inakabiliwa na majukumu makubwa msimu huu, ikihitaji kushindania mataji matatu, Ligi Kuu Tanzania Bara, Kombe la Shirikisho la CRDB, na kufika mbali kwenye michuano ya CAF.
17/03/2025 15:59:10
MECHI 10 zilizobaki za Simba mzimu huu zinaendelea kuwaumiza viongozi wa klabu hiyo wakipiga hesabu za namna ya kuzicheza ili wabebe ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu
17/03/2025 15:54:20
MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, ameonekana kuwatupia kijembe watani wao wa jadi, Yanga
12/03/2025 15:49:07
WAKATI Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), ikiwataka wadau wa soka kuwa watulivu kipindi hiki wakiendelea kusubiri taarifa...
27/02/2025 17:43:27
Kocha wa Simba Fadlu Davids amesema mechi mbili zijazo zinaweza kutoa picha halisi ya ubingwa kwa timu yake msimu huu.