Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
02/06/2025 11:08:45
Diarra bado ana mkataba na Yanga akiwa anaendelea kumfukuza kwa karibu kipa wa Simba Moussa Camara katika clean sheet za Ligi Kuu wakitofautiana moja tu
02/06/2025 10:26:57
Benchikha aliyekuwa kocha wa mwisho wa kigeni wa Simba kabla ya kuletwa kwa Fadlu Davids, alisema Simba ilipigwa kwa Camara, kwani ndiye mchezaji aliyekuwa akitakiwa aletwe msimu uliopita
02/06/2025 10:15:13
Simba SC wanatarajiwa kukutana na RS Berkane ya Morocco katika fainali hiyo, ambapo mchezo wa kwanza utafanyika Mei 17 nchini Morocco, huku marudiano yakifanyika Mei 25 kwenye
30/05/2025 10:17:44
Simba imefika fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kupoteza mechi mbili tatu katika hatua tofauti, lakini ikilinda rekodi ya kutopoteza mchezo wowote nyumbani
08/05/2025 14:45:08
YANGA SC wamebainisha kuwa msimamo wao kuhusu mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Simba SC uliotarajiwa kuchezwa Machi 8 2025 upo palepale
08/05/2025 14:39:59
KATIKA kilele cha mafanikio ya kihistoria, Meneja wa klabu ya Simba, Ahmed Ally, ameweka wazi kuwa safari yao kwenye