Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
08/09/2021 10:54:18
Cristiano Ronaldo atakuwa kivutio kikubwa zaidi Jumamosi hii katika uwanja wa Old Trafford atakapoicheza Manchester United mechi yake ya kwanza tangu kujiunga tena na klabu hiyo, watakapowakarabisha Newcastle ligi kuu ya England.
08/09/2021 07:07:32
Sevilla FC itakutana na FC Barcelona kwenye ligi kuu ya Uhispania katika uwanja wa Estadio Ramón Sánchez Pizjuán jumamosi Septemba 11.
02/09/2021 07:28:29
Dereva wa Red Bull Racing-Honda Max Verstappen atakuwa anapania ushindi atakaposhiriki kwenye mashindano ya Dutch Grand Prix.
31/08/2021 11:22:43
Mashindano ya Tennis ya US Open 2021 yanatarajiwa kufanyika katika uwanja wa kitaifa wa Tennis wa USTA Billie Jean King kuanzia Agosti 30 hadi Septemba 12.
26/08/2021 15:44:44
Manchester City wanalenga kuwaongezea Arsenal dhiki ya mwanzo mbaya wa msimu timu hizo mbili zitakapokutana kwenye mechi ya ligi kuu ya England katika uwanja wa Etihad Jumamosi hii.
25/08/2021 15:11:18
Juventus FC itacheza dhidi ya Empoli kwenye ligi kuu ya Italia- Serie A katika uwanja wa Allianz mnamo Agosti 28.