Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
19/02/2026 07:33:33
Msajili wa Vyama vya Michezo, Abel Ngilangwa, ametangaza kuidhinishwa kwa marekebisho ya Katiba ya Simba SC, hatua inayohitimisha mchakato wa muda mrefu wa mageuzi...
29/01/2026 08:48:16
Simba ina wakati mgumu katika kundi D la michuano hiyo kwani katika mechi tatu, haina pointi ikiburuza mkia, huku Stade Malien ikiongoza na pointi saba.
29/01/2026 08:43:22
Yanga ilipoteza mechi Ligi ya Mabingwa Afrika Ijumaa iliyopita dhidi ya wapinzani wao hao kwa kuchapwa mabao 2-0 mechi iliyopigwa uwanja wa The Borg El Arab katika mji wa Alexandria.
29/01/2026 08:38:05
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker ameshindwa kujizuia kwa kuonyesha kuvutiwa na urejeo wa kiungo fundi raia wa Zambia, Clatous Chama.
29/01/2026 08:31:15
Kwa kutambua uzito wa mechi hiyo ya maamuzi, kikosi cha Yanga kimeondoka leo kuelekea Zanzibar kwa ajili ya kambi maalum ya maandalizi ya mwisho kabla ya kuivaa.
29/01/2026 07:20:12
Akizungumza kuhusu usajili huo, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally, amesema Oura ni mchezaji mwenye ubora na uzoefu unaohitajika