Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo

BAADA YA YANGA KUMALIZANA NA AZAM FC JUZI…

26/10/2023 13:24:27
Na mechi ya marudiano Yanga walikuwa ugenini wakipata matokeo ya mabao 2 -0, mchezo uliopigwa uwanja wa Liti, Singida, Mei 4, mwaka huu katika mchezo wa mzunguko wa pili

HIZI HAPA FAIDA ZA MICHUANO YA AFL KWA SIMBA FC

23/10/2023 11:09:48
Manufaa kwa Simba SC Wazo na lengo la Simba sc linaenda kukamilika kwa kuwa klabu kubwa Afrika kwa kushiriki mashindano makubwa na vilabu vikubwa Afrika

KUELEKEA MECHI NA AZAM FC...GAMONDI ALIANZISHA UPYA KWA MASTAA WA YANGA

23/10/2023 10:54:02
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amewabadilishia programu wachezaji wake kulingana na ubora wa Azam FC

EPL - Chelsea v Arsenal

20/10/2023 17:52:17
Arsenal itapambana na Chelsea katika mechi ya ligi ugani Stamford Bridge Jumamosi Oktoba 21. Mechi hii itakuwa yao ya nne dhidi ya timu zilizopo mjini London zinazoshiriki ligi kuu.
 

YANGA HII YA GAMONDI NI ZAIDI YA BALAA NA NUSU...

16/10/2023 11:09:13
YANGA imebakiza mabao 45 tu katika mechi 25 zilizobaki Ligi Kuu ili ifikie rekodi yake ya ufungaji ya msimu uliopita

PGA - 2023 Shriners Children's Open

13/10/2023 11:51:57
Shindano la gofu la The Shriners Children's Open 2023 linatarajiwa kung’oa nanga TPC, Summerlin huko Las Vegas, Nevada, Marekani kati ya tarehe 12 na 15 Oktoba.