Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo
06/04/2022 11:59:01
Hatima ya ligi ya Premier msimu huu inaweza kuamuliwa wakati Manchester City watakutana na Liverpool ugani Etihad Jumapili Aprili 10.
06/04/2022 11:56:46
Inter Milan itapambana na Hellas Verona katika mechi ya ligi kuu nchini Italia mnamo Aprili 9 ugani Stadio Giuseppe Meazza.
06/04/2022 11:47:09
Shindano la gofu la Masters 2022 linatarajiwa kuchezewa Augusta National Golf Club kati ya tarehe 7 na 10 Aprili.
05/04/2022 16:18:05
Real Madrid watamwalika Getafe CF Estadio Santiago Bernabéu Aprili 9 katika mechi ya ligi kuu Uhispania, La liga.
04/04/2022 15:48:38
Chelsea FC watakutana na Real Madrid kwenye mechi ya UEFA hawamu ya robo fainali mkondo wa kwanza, Aprili 6.
01/04/2022 14:43:14
Bastianini wa Gresini anapania kuendeleza ushindi katika mbio za pikipiki za Argentine Grand Prix, raundi ya tatu itakapong’oa nanga Jumapili Aprili 3.