Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo
07/12/2022 11:04:13
Shindano la gofu la mwaka 2022 la Alfred Dunhill Championship linatarajiwa kufanyika Malelane, Afrika Kusini kati ya tarehe 8 na 11 mwezi Desemba.
07/12/2022 10:43:07
Philadelphia 76ers itamenyana na Los Angeles Lakers katika mechi ya ligi ya National Basketball Association (NBA) mnamo Desemba 10.
02/12/2022 00:16:34
Katika azma ya kutetea taji la kombe la dunia, Ufaransa itakabiliana na Poland Jumapili Desemba 4 kwenye mechi ya hatua ya 16.
01/12/2022 14:16:21
Boston Celtics watamenyana na Miami Heat katika mechi ya ligi ya kikapu, National Basketball Association (NBA) mnamo Desemba 3.
01/12/2022 11:23:27
Shindano la 2022 Hero World Challenge la gofu litafanyika Albany, New Providence, The Bahamas kati ya tarehe 1 na 4 Desemba.
01/12/2022 10:32:51
Kuna uwezekano Cameroon itaaga kombe la dunia 2022 mapema huku Ghana ikipania kisasi dhidi ya Uruguay Ijumaa kwa yaliyotokea 2010.