Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo

Verstappen aotea mafanikio zaidi Sao Paulo

11/11/2022 18:20:28
Dereva wa Red Bull Racing Max Verstappen anatarajia kupata ushindi wake wa 15 msimu huu kwenye mbio za Brazilian Grand Prix Jumapili Novemba 13.
 

Lakers kumenyana na Kings, NBA

11/11/2022 18:07:44
Los Angeles Lakers na Sacramento Kings watakabiliana vikali kwenye mechi ya ligi ya mpira wa kikapu, National Basketball Association (NBA) Novemba 12.
 

Gunners kukabana koo na Wolves

09/11/2022 11:41:08
Arsenal wanatazamia kuingia mapumziko ya kombe la dunia wakiongoza ligi huku wakifukuzia ushindi wa tatu mfululizo dhidi ya Wolves Jumamosi Novemba 12 ugani Molineux.
 

Madrid wahofia Cadiz

09/11/2022 11:32:15
Real Madrid watamenyana na Cadiz CF kwenye mechi ya ligi kuu ya Uhispania ugani Estadio Santiago Bernabéu Novemba 10.
 

Vallecano kukutana na Real kwenye dabi ya Madrid

04/11/2022 14:38:24
Rayo Vallecano watakutana na Real Madrid kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uhispania ugani Estadio de Vallecas Novemba 7.
 

Bucks watarajia kuendeleza rekodi nzuri dhidi ya Thunders

04/11/2022 10:33:44
Milwaukee Bucks na Oklahoma City Thunders watakabana koo kwenye mechi ya NBA Novemba 6.