Latest Soccer News
Habari za hivi punde za Michezo
24/11/2022 18:02:19
Baada ya kupata kichapo kutoka kwa Japan, Ujerumani ina kibarua cha ziada ilhali Uhispania itaelekea kwenye mchezo huo mkali siku ya Jumapili ikiwa na matumaini makubwa.
24/11/2022 17:47:47
The Orlando Magic wanatarajia ushindi dhidi the Philadelphia 76ers timu hizo zitakapokutana kwenye mechi ya ligi ya mpira wa kikapu National Basketball Association (NBA) katika ukumbi wa Amway Center Orlando, Florida Jumamosi 26 Novemba saa nane asubuhi majira ya Afrika ya kati.
21/11/2022 14:48:12
Argentina na Ufaransa ambayo ni mojawapo ya mataifa yanayopigiwa upatu kushinda shindano la kombe la dunia wataanza kampeni zao Novemba 22.
18/11/2022 17:55:16
Afrika inawakilishwa vyema katika Kombe la Dunia, pamoja na kukosekana kwa baadhi ya mataifa makubwa. Licha ya juhudi za kubwa zilizofanywa na timu za Kiafrika hapo awali, rekodi za bara la Afrika kwenye michuano hiyo bado si nzuri. Je, tutaona timu ya Afrika ikitinga Nusu Fainali?
18/11/2022 14:23:13
Max Verstappen amehapa kumsaidia dereva mwenza wa Red Bull Sergio Perez katika mbio za kukamilisha msimu za Abu Dhabi Grand Prix Jumapili Novemba 20.
16/11/2022 11:15:38
Portland Trail Blazers watakabana koo na Brooklyn Nets kwenye mechi ya ligi ya National Basketball Association (NBA) Novemba 18.