Kevin Hart ameungana na
Pragmatic Play ndani ya Betway Tanzania kupitia kampeni ya kusisimua itakayowaletea wachezaji burudani, zawadi na matukio makubwa. Ushirikiano huu una awamu tatu za promosheni: Cheza na Kevin (Play with Kevin), Beti na Kevin (Bet with Kevin) na Kevin Anamwaga Zawadi (Kevin Makes It Rain).
Hutakiwi kukosa kampeni hizi. Wachezaji wanaweza kutarajia zawadi za kusisimua na promosheni za kipekee, ikiwemo zawadi za Mkwanja zinazotolewa kwa bahati nasibu, huku Kevin Hart akiongeza msisimko na nguvu zake za kipekee atakapoonekana tarehe 6 na 7 Novemba 2026 kuendesha baadhi ya michezo maarufu ya Pragmatic Play. Kuna mengi ya kusisimua yanayokuja katika kampeni hii. Endelea kufuatilia ili kujua zaidi kuhusu kile ambacho Pragmatic Play na Kevin Hart wamekuandalia.
Cheza na Kevin Hart (Play with Kevin Hart)
Kuanzia 19 Oktoba hadi 2 Novemba 2026, wachezaji nchini Tanzania wanaweza kushiriki kwenye promosheni ya Cheza na Kevin kupitia michezo mbalimbali ya Live Casino ya Pragmatic Play pamoja na sloti zote za Pragmatic Play.
Ili kufuzu, wachezaji wanapaswa kuweka beti zinazostahili na kukusanya herufi ili kukamilisha maneno PLAY na KEVIN. Mara baada ya kukamilisha maneno yote mawili, watafungua kisanduku cha zawadi ambapo wanaweza kujishindia Free Chip.
Michezo inayoshiriki ni pamoja na:
- Mega Wheel
- Amazing Baccarat
- Gates of Olympus Roulette
- Mega Roulette
- Money Time
- Sweet Bonanza Candyland
Kila kipindi cha mchezo kinachostahili huwapa wachezaji nafasi zaidi za kukusanya herufi, kuendelea kwenye promosheni na kufungua zawadi. Kadri unavyocheza zaidi, ndivyo unavyoongeza nafasi ya kupata herufi na zawadi.
Beti na Kevin Hart (Bet with Kevin Hart)
Shiriki kwenye promosheni ya Beti na Kevin Hart kuanzia 2 hadi 7 Novemba 2026 kwa nafasi ya kujishindia Free Chip huku ukifurahia baadhi ya michezo maarufu ya Pragmatic Play.
Ili kufuzu, unahitaji kuweka beti kwenye michezo inayoshiriki:
- Mega Wheel
- Amazing Baccarat
- Gates of Olympus Roulette
- Mega Roulette
- Money Time
- Sweet Bonanza Candyland
Wachezaji watakaotimiza masharti ya promosheni watapata nafasi ya kupokea zawadi ambazo zinaweza kudaiwa kuanzia 6 Novemba 2026.
Kwa mfumo rahisi wa kushiriki na michezo maarufu ya live casino, ni rahisi kujiunga na burudani hii huku ukifurahia uzoefu wa kipekee wa live dealer. Unachotakiwa kufanya ni kuweka beti zinazostahili wakati wa promosheni na kuona kama utafungua zawadi yako.
Kevin Anamwaga Zawadi (Kevin Hart Makes It Rain)
Msisimko wa kampeni unafikia kilele kupitia Kevin Anamwaga Zawadi (Kevin Hart Makes It Rain), ambayo ni fainali kuu ya promosheni.
Mnamo 6 na 7 Novemba 2026, Kevin Hart atafanya mwonekano wa kipekee kwa kuendesha baadhi ya michezo maarufu ya Pragmatic Play, ambapo wachezaji watapata uzoefu wa pekee wa kucheza michezo wanayoipenda ikiongozwa na Kevin Hart mwenyewe.
Jiunge kwenye michezo kama:
- Mega Wheel
- Amazing Baccarat
- Gates of Olympus Roulette
- Mega Roulette
- Money Time
- Sweet Bonanza Candyland
Ushirikiano huu unaleta uzoefu wa burudani usiosahaulika kwenye baadhi ya michezo maarufu ya live casino na kuwapa wachezaji tukio la kipekee.
Kama hitimisho kuu la promosheni, Kevin Hart Makes It Rain inawapa wachezaji nafasi adimu ya kufurahia live casino pamoja na mmoja wa mastaa wakubwa wa burudani duniani akiwa sehemu ya mchezo. Usikose fainali hii ya kusisimua tarehe 6 na 7 Novemba 2026.
Kwa Nini Ushirikiano Huu Ni Muhimu?
Ushirikiano kati ya Kevin Hart na Pragmatic Play unaleta uzoefu wa kipekee kwa kuunganisha mmoja wa mastaa wakubwa wa burudani na mmoja wa watoa huduma wakubwa wa michezo ya kasino.
Umaarufu wa Kevin Hart duniani unaongeza msisimko, mvuto na nguvu kwenye kampeni hii, huku Pragmatic Play ikitoa michezo bora ya live casino kwa ajili ya uzoefu wa kuvutia zaidi.
Wachezaji wanaweza kushiriki kwenye mchanganyiko wa michezo ya live casino na sloti, jambo linalowapa njia nyingi za kushiriki. Kampeni hii inaenda mbali zaidi ya mchezo wa kawaida kupitia zawadi za mwingiliano, changamoto za leaderboard na fursa mbalimbali za ushindi.
Mambo haya yote kwa pamoja yanatoa uzoefu wa burudani unaochanganya michezo bora, promosheni za kusisimua na zawadi kwa wachezaji.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)
Nani ameungana na Pragmatic Play?
• Kevin Hart ameungana na Pragmatic Play kwenye kampeni maalum yenye promosheni za kutosha.
Play with Kevin (Cheza na Kevin) ni nini?
• Ni promosheni ya kukusanya herufi ambapo wachezaji hukamilisha maneno PLAY na KEVIN ili kufungua zawadi ndani ya kisanduku.
Bet with Kevin (Beti na Kevin) ni nini?
• Ni promosheni ya Free Chip inayopatikana kwenye michezo maalum ya Live Casino.
Kevin Makes It Rain (Kevin Anamwaga Zawadi) ni nini?
• Ni tukio maalum la live casino litakaloongozwa na Kevin Hart.
Promosheni hii itaendeshwa lini?
• Kuanzia 19 Oktoba hadi 7 Novemba 2026, kupitia awamu tatu tofauti za kampeni.
Beti Sasa
TSh MILIONI 10 KUSHINDANIWA. Beti TSh 1,250+, Mechi 3+ Ikijumuisha Mechi ya Simba