Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
20/04/2022 15:37:27
Inter Milan watamwalika AS Roma ugani Stadio Giuseppe Meazza Aprili 23 katika mechi ya ligi kuu nchini Italia.
19/04/2022 15:18:37
Real Sociedad wanapania kukatisha msururu wa matokeo mazuri ya Barcelona watakapokutana kwenye mechi ya ligi mnamo Aprili 21 ugani Reale Arena.
14/04/2022 15:54:35
Shindano la gofu la RBC Heritage 2022 linitarajiwa kung’oa nanga katika uwanja wa Harbour Town Golf Links kwenye kisiwa cha Hilton Head jimbo la South Carolina Marekani kati ya tarehe 14 na 17 Aprili.
14/04/2022 15:36:18
Juventus FC watakuwa mwenyeji wa Bologna FC katika mchezo wa ligi kuu ya Italia ugani Allianz Stadium Aprili 16.
13/04/2022 14:48:31
Manchester United wanapania kupata ushindi kwa mara ya tano mfululizo katika ligi dhidi ya Norwich watakapokutana Jumamosi Aprili 16. Ni katika juhudi ya kuokoa nafasi ya kumaliza nne bora.
12/04/2022 13:29:18
Sevilla FC watakuwa mwenyeji wa Real Madrid katika mechi ya ligi ya Uhispania ugani Estadio Ramón Sánchez Pizjuán Aprili 17.