Habari za hivi punde za Soka
Habari za hivi punde za Michezo
16/02/2022 14:14:41
Valencia CF na FC Barcelona watachuana vikali katika mechi ya ligi, Uhispania Februari 20 ugani Estadio de Mestalla.
14/02/2022 11:50:01
Inter Milan na Liverpool watamenyana katika mchezo wa ligi ya mabingwa raundi ya 16 mnamo Februari 16.
11/02/2022 08:54:34
The Charlotte Hornets na Memphis Grizzlies watamenyana mnamo Jumapili tarehe 13 Februari 2022 katika mechi ya NBA, Spectrum Center, Charlotte iliyopo North Carolina. Mechi inatazamiwa kuanza saa nane kamili majira ya Afrika ya kati.
09/02/2022 14:45:44
Mashindano ya golfu ya Phoenix Open 2022 yanatazamiwa kuchezwa kati ya tarehe 10 na 13 Februari, TPC Scottsdale - Stadium Course Arizona nchini Marekani.
09/02/2022 14:26:28
SSC Napoli watakuwa mwenyeji wa Inter Milan ugani Stadio Diego Armando Maradona katika mechi ya ligi Februari 12.
09/02/2022 14:15:27
Manchester United watanuia kuendeleza ubabe wao dhidi ya Southampton watakapokutana katika mechi ya ligi ugani Old Trafford Jumamosi Februari 12.